Recent content by maigajr

  1. maigajr

    JamiiForums Tanzania Ni Series ipi uliyoitazama haikufika mwisho na unaona ilikatishwa kimakosa?

    American Odyssey
  2. maigajr

    JamiiForums Tanzania Taja simulizi 3 bora ulizosoma JamiiForums 2023

    1. Simulizi za umughaka 2. Analyse 3. Insider man Asee watu wanajua kusimulia km vile unaangalia movie. Ila umughaka na a analyse kiboko ule usimuliaj wao lazima ucheke tu 🤣🤣🤣🤣🤣
  3. maigajr

    JamiiForums Tanzania From series msimu wa 3 umetoka

    Hapo ndo tuone tofauti kati ya director wetu wa kibongo na wenzetum yaan script zinaandikwa Kwa akili sana kias kwamba unapata ham ya kutaka kujua what next. Huku kwetu uliangalia tu episode Moja unaweza kutabiri movie inaisha vp 😂😂😂
  4. maigajr

    JamiiForums Tanzania From series msimu wa 3 umetoka

    😂😂😂😂 Que sera sera,,, whatever will be will be...the future is not ours to see.. que sera sera.. yaan mwanangu anapenda sana hii opening song 😂😂😂😂
  5. maigajr

    JamiiForums Tanzania *HII ISSUE YA GOOGLE PIXEL NA IPHONE IMEKAAJE?*

    Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
  6. maigajr

    JamiiForums Tanzania Riwaya: SIN

    Story nzuri,,,utunzi mzuri sana mkuu lete vitu
  7. maigajr

    JamiiForums Tanzania Riwaya: SIN

    Leta vitu kaka
  8. maigajr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Analyse ni habari nyingine aseee.... Yaan tafta thread zake zote ambazo hujawah kusoma utafurah sana .... Yule apostle ni should da 😀😀😀😀😀
  9. maigajr

    JamiiForums Tanzania My review of a song of Ice and Fire: Game of Thrones series

    "Just say a name and te man will do the rest" [emoji3][emoji3][emoji3]
  10. maigajr

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Nukuu kutoka kwenye Movies au Series

    "I'm not in danger skyler, I'm the danger", Breaking bad- Walter white
  11. maigajr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kanuna na kanizuia kutoka

    Sasa na ww unatokaje bila morning glory?? Mpe anachotaka
  12. maigajr

    JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha halina Kituo cha Mabasi wala Soko lolote linaloendana na hadhi ya jiji hilo

    Mimi siku ya kwanza nafika arusha nikashangaa sana ile stendi ... yaan nkajua ndo stwnd ndogo ya daladala. Af vidaladala vidogo hakuna hata kosta. Jiji lenye watu wengi hv tunapanda daladala fupi vile hata ukikosa siti huwez kusimama .... kwa kweli bado ni changamoto sana
  13. maigajr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Yaan tulivyo na arosto na hii story....au jamaa atakuwa ameenda kumla prisca
  14. maigajr

    JamiiForums Tanzania Aina 50 ya Online Business Platforms unazoweza anzisha Tanzania na uka-Dominate Soko

    Thread km hizi hata comments haziwi nyingi,,, ila kule kwa rikiboy zinajaaaa tu [emoji1][emoji38][emoji3][emoji6][emoji1787][emoji12][emoji1]
Back
Top Bottom