Heshima kwenye wananzengo.
Mm ni mtumishi wa umma Sasa leo asubuhi nimejifanyia usafi kwa kujinyoa sehemu zangu za Siri upara swafi pamoja na makwapini then nikaenda kuoga then nikapigilia pamba safi na unyunyu Kwa mbaliiiii.
Sasa nataka kutoka wife kazinda mlangoni anasema leo hatoki mtu.
Sasa niko kitandani natafakar nifanye nn?