Recent content by maichrim

  1. maichrim

    Maisha ya mama Anna Tibaijuka kijijini Muleba

    Mbona hii nyumba kama shule!! au ndo shule yenyewe alochukulia vijicent nn!!
  2. maichrim

    Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

    That's a different story.It might be a demonic spirits kama mtu anataka kufanya hata barabarani. Issue ya huyu mwenzetu ni tofauti, mpenz wake anataka wa-do wakiwa pamoja ndo maana jamaa anakimbia faragha.....Hahahahahahaha SIJAPA ona hii... Hakikisha unakula nyanya pichi moja kila siku...BIG RESULT
  3. maichrim

    Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

    Hili swali la muhimu pia. Kama alishawahi kupata ze utamu mahali flani ambao ww hujaufikia mzee unaweza kuona imekua kero. Zungumzeni anataka mfanye vipi ili awe anaridhika na huduma yako..vinginevyo anawezapigwa hata ukiwa hujasafiri mkuu
  4. maichrim

    Can Men and Women Be Friends?

    Kiukweli mimi nikishaona mwanaume ambaye yuko close saana na wanawake...yani ndo marafiki zake..simuelewagi vzri. Sometimes ushoga unaanzia hapo! Lakini pia mara nyingi kinadada wanaofanya urafiki zaidi na wanaume ukiwaangalia sana utagundua kuna gap somewhere. Ni mtazamo
  5. maichrim

    Can Men and Women Be Friends?

    It can be true for some rare cases but it should be taken with extra care!!! It is always TRUE that unlike poles ATTRACT each other unless your blood related creatures!!! which doesn't work even for some people.
  6. maichrim

    Kwa nini mpenzi wako akijua unampenda anakufanyia vituko

    Hii iko sana kwa wanawake...nawaonea huruma sana wanaume wengi wanakimbizwa sana ulimi nje kisa anajiona kama hana sifa za kuwa na mwanamke kama huyo!!! never do it!
  7. maichrim

    Jambazi sugu lenye kuwaibia na kuwaua wanawake Arusha lauawa!

    Ndo mana sipendi arusha hakuko peace kabisa
  8. maichrim

    trafiki wa Bongo ni shidaaaaaaaaaaaaaaa; Angalia

    jipange kwanza ndo ulete topic
  9. maichrim

    Mpenzi wangu akiombwa namba na mwanaume anayemtaka, anampa za kwangu

    Acha kutudanganya mkuu, unasema umemtokea siku MOJA akakubali, umesahau ulishasema ulishamtokea longi afu ukapotezea miezi kadhaa!!! Inaonekana humpendi huyo binti au hujielewi vizuri na pia huwezi kusoma alama za nyakati. Kama binti anakupenda ukishamueleza alafu ukapotezea ni mbinu muhimu...
  10. maichrim

    Miguno ya kimapenzi kutoka chumba cha jirani zimenifanya kuvunja amri za Mungu

    USHAURI: 1. Kipara wewe nyoosha Kiswahili chako! kama vipi rudia vitabu vya hicho chuo uliposoma!!!! 2. Jitahidi kutopanga uswazi au vipi basi jitahidi ujenge kwako na kusiwe uswaz pia!! 3. Acha tamaa mbaya, jifunze mambo mazuri..... Mi nadhani ungejifunza kupiga vzr kama mwenzio anaeliza kitu...
  11. maichrim

    Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

    Acha usanii wewe!!!! Hiyo nakala ya kufukuzwa ni fafa.....so you've diluted the whole thing!!
  12. maichrim

    Wanaume wafupi ni shida

    Mi hata thijui! ila nahisi sio mfupi/sio mrefu kimo tu.....maji ya kunde sura ya Kiafrica.....hahahaaha...umenikumbusha mbali ww
  13. maichrim

    Wanaume wafupi ni shida

    Urefu au ufupi is a very relative term ma dia
  14. maichrim

    Kwanini wanawake wengi hawapendi kufundishwa kuendesha gari na waume zao?

    Ni kweli kabisa. Wanawake ni wazito saaaaaana kwenye gari...sijui kwa nn
  15. maichrim

    Dhana ya Bikira

    Ni vizuri kujiuliza beyond jina Bikra lenyewe. Ni nn maana ya kuwa bikra. Kwangu mimi BIKRA ni ukamilifu, ni zaidi ya vagina-muscles ambazo wengi tunadhani ndiyo heshima yenyewe. Mi naamini kuwa mtu anaweza kuwa bikra in terms of muscles lakini akili, upendo, ustaarabu, kujitambua, kazi na mambo...
Back
Top Bottom