Recent content by Mahonzelo

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

    Wabunge wanne wa sisiem watajwa majangili wa tembo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    We mshukuru mungu mzee kifimbo alishatutoka vinginevyo ungelishawekwa kitimoto kama babako jumanne m. Sijui ungetokea ads!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kingunge Ngombale-Mwiru alazwa Muhimbili (March, 2013)

    Duh, namkumbuka sana huyu Babu mwaka 2010 alipomtupia dongo Askofu Kilaini kuwa enzi akiwa kwenye dini kama mkristo mkatoliki angeenda kuungama kwa uongo wa Askofu. Baada ya kuzidiwa hoja na Kilaini Babu alifyata mkia.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

    Mungu akurehemu Njelekela, kama hatujakosea hawa kinanjelekela wanaweza kuwa wanatoka jirani na kizazi kile cha kina MUTWA WA VAHEHE, mwakajana tu walikuwa mkoa mmoja na sasa wapo mkoa mpya. Poleni wanyasa wa huko Ludewa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

    Niliamini kuwa wanyaki ni radicals lakini wazee wa mila na vijana wa kada mbalimbali kupitia taarifa ya habari ya STAR TV jana, ilionesha watajimaliza wenyewe kwa unafiki wao. Wanajidai kulaani maandamano na kuona chadema ni chama chenye fujo huku wiki mbili tatu zilizopita wakati kambi ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Ajira za Kujuana

    ndo chichiem ilipowafikisha na bado mnavaa t-shirt na kofia zao wakiwapa elf tano. Unasahau kabisa kuwa kunamaisha baada ya elfu tano kuisha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania 2015: Urais wa damu Habari ya Mtanzania ya leo

    Nona mwandishi kama anataka KUFUNIKA M....A....V.....I KWA BAKULI! YATANUKA TU!
  8. M

    JamiiForums Tanzania 2015: Urais wa damu Habari ya Mtanzania ya leo

    Gazeti la mtanzania bwana! Waanze kuwa mashahidi namba moja! Nikiliona namkumbuka mbunge wa zamani wa igunga........ Hivi aliitwa fisadi papa au fisadi nyangumi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    Hii ni dalili wazi kabisa sasa inayoonesha jinsi gani watu wanataka kuua CHADEMA kwa kukishinikiza na udini. Ninasema haya kwa sababu gazeti la Jamhuri limeandika historia ya Joseph kuwa kasoma seminari na amefanya kazi VATICAN hadi unashangaa! Kuna uhusiano gani wa kuhusisha ukatoliki na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere College Inahujumiwa!

    UMEWAHI FUNDISHA VYUO VYA ELIMU YA JUU WEWE! Kuna kazi! Kuna wadada wanajilengesha kama nini? Tena wanapenda sana kuingiaingia kwenye ofisi za wahadhili bila hata woga. Wakifika ofisini Mikao yao kama picha hiyo ya Mleta mada. Yaani ametega unafikiri yupo Kimboka Buguruni. HATA NINGELIKUWA MIMI...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tweet ya CCM yenye Kingereza Kibovu iliyogeuka Kichekesho Kenya!

    It is hard to believe! This is EXTRA OMNES!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    NDO KUSEMA HATA MWAKYEMBE ALIFANYIZIWA NA CDM, mh! Pole ndugu zangu wanambeya! Ulimboka, Mwangosi, Mwakyembe, na yule jaji nani aliyefia getini kwa kupigwa risasi! Duh! mbombo ghafu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha na matukio: Mwenyekiti wa UVCCM taifa Sadifa Hamisi, Mtela Mwampamba na Shonza mkoani Morogoro

    walitumia hela nyingi sana kukusanya watu kutoka matombo, mgeta, kiloka, mkuyuni na maeneo mengi ya milimani. Wengine waliwapa elfu kumikumi lakini wakala na hawakusogea kwenye hizo mbururala zao.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Z'bar: Hatuhusiki na waraka wa vitisho

    Duh, boko haram, al qaida, al shababu, tuareg, msimamo mkali, uamsho, na mengine mengi. kazi kwelikweli! why? kwa nini?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Walimu kupongezana kwa matokeo mabovu ya wanafunzi ni uzalendo?

    Kada ya elimu: Msomi anaishia shahada ya kwanza serikali ya ccm haitambui kabisaa shahada ya pili, na hicho cheo hakipo katika serikali ya ccm. Hii ni hatari kubwa.
Back
Top Bottom