Maaskofu Z'bar: Hatuhusiki na waraka wa vitisho

Maaskofu Z'bar: Hatuhusiki na waraka wa vitisho

Duu Pengo aje na mipovu yake akanushe sasa kama alivyofanya siku ile ya kuamini walaka wa Waislam/UAMSHO! What goes around comes around!
 
Duh, boko haram, al qaida, al shababu, tuareg, msimamo mkali, uamsho, na mengine mengi. kazi kwelikweli! why? kwa nini?
 
Baraza la Maaskofu Zanzibar limekanusha halihusiki na waraka wa vitisho dhidi ya Wapemba na mpango wa kuhujumu Waislam kwenye miskitini kwa kutumia mabomu.

Tamko hilo limetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo Zanzibar, Askofu Michael Hafidh wakati akizunguimza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Kanisa la Pentekoste huko Mwanakwerekwe mjini Unguja jana.

Askofu Hafidh alisema waraka huo umewashtua na kuamua kuitisha kamati ya utendaji ya Baraza hilo kuujadili na kutoa tamko maalum kwa niaba ya makanisa na waumini wake visiwani Zanzibar.

Alisema kwamba waumini wa Kikristo na waumini wao kamwe hawatafanya vitendo vya kulipiza visasi na kanisa halihusiki na waraka huo uliolenga kuvuruga amani, mshikamano na umoja wa kitaifa Tanzania.

"Tunachukua nafasi hii kukanusha vikali kuwa taarifa hizo si za kweli, tunalaani kwa nguvu zetu zote, watu, mtu yeyote aliyehusika kueneza taarifa hizi za kizushi, zisizokuwa na msingi wowote zenye lengo la kuchafua kanisa na kuwatia hofu wananchi", alisema Askofu Hafidh ambaye ni Askofu wa kanisa la Anglikana jimbo la Zanzibar.

Alisema kazi ya kanisa ni moja tu ambayo ni kutangaza habari njema ya ufalme wa Mungu na kamwe kanisa halitafanya umafia au kuingia katika mtego wa kijinga wenye malengo ya kuvuruga misingi ya umoja wa kitaifa na kuwataka waumini wake kuwa wahubiri wa amani.

"Tunapenda kuwahakikishia watanzania, uzushi na thuhuma zinazotolewa kupitia kipeperushi hicho hazitotuvunja moyo bali zitatuunganisha na kutuimarisha katika azma yetu ya kuhakikisha nchi yetu inabaki katika salama na amani kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama", alisema Askofu huyo.

Akielezea ujumbe wa vipeperushi hivyo vyenye kichwa cha habari "barua ya wazi ya wakristo na wabara wanaoishi Zanzibar kwa Kadinali Pengo", Askofu Hafidh alisema tayari wameshachukua hatua ya kuvitaarifu vyombo vya ulinzi ili kuwasaka watu waliohusika kufanya vitendo hivyo.

Kwa upande wake, Padri Cosmas Shayo alisema vitendo vya usambazaji vipeperushi vimekuwa vya kawaida na haviwezi kudharauliwa, siku za nyuma vilisambazwa na baadae matukio mabaya yakafuatia.

Padri Shayo alisema kwamba vyombo vya ulinzi lazima vichukue hatua za kuwatafuta watu wanaotoa vitisho na kuleta mitafaruku isioleta sura nzuri wakati waumini wa kikristo na kiislam wamekuwa wakiishi kwa maelewano kwa miongo mingi visiwani Zanzibar.

Naye Mchungaji wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(KKKT) Malonda Shukuru Stephen, alipongeza hatua ya Serikali ya kukaribisha wachunguzi na wapelelezi wa kimataifa dhidi ya watu wanaofanya hujuma ya makanisa na kuwahujumu viongozi wa dini visiwani humu.

Kwa mujibu wa vipeperushi hivyo vinawataka wakristo na wabara wanaoishi Zanzibar kuungana na kuanza kuwahujumu watu wenye asili ya pemba wanaoishi Tanzania Bara pamoja na kuhujumu mali zao.

"Sisi wakristo na watu wenye asili ya Bara tunaoishi Zanzibar tunakutaka uelewe kwamba huku Zanzibar hususan Wapemba hawatutaki tuishi huku", sehemu ya barua hiyo kwenda kwa Kadinali Pengo imemeeleza.

Waraka huo unaiowataja baadhi ya wanasiasa wakiwemo baadhi ya viongozi waliko kwenye Serikali ya Umoja wa Kiataifa kuwa ndiyo wanaohusika na vitendo vya hujuma dhidi ya viongozi wa dini,makanisa na baa.

Akizungumzia tamko hilo la Baraza la Maaskofu Zanzibar, Mkurugenzi wa Makosa ysa Jinai Zanzibar Yussuf Ilembo alisema ni kweli vipeperushi hivyo vimesambazwa, jeshi la polisi linaendelea kufanyia uchunguzi watu wanaotoka vipeperushi hivyo.

Alisema katika kupambana na tatizo hilo wapelelezi bingwa kutoka Marekani(FBI) wameshafika Zanzibar ili kusaidia mpango kazi wa kuwasaka watu wanaofanya vitendo hivyo vya hujuma na kwamba utaalam wao utasaidia upelelezi wa ndani kuweza kulifikia lengo.

CHANZO: NIPASHE
Saints among demons!! ZNZ
 
Kumbe wapemba maanake waislam na waislam maanak waqpemba. Sikujua.
 
Pengo hajakanusha kauli yake kuhusu Wapemba waliouliwa na polisi mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuwa walikuwa na silaha pia akimaanisha mawe!

Katika wakati huu ambao juhudi zinafanyika kuhakikisha amani iliyopo nchini inaendelea kudumu ni muhimu sana kwa Pengo kujirudi na kuwaomba msamaha Watanzania wote kuhusu kauli yake ile yenye kuashiria chuki na utengano.
...ni wakati wa kuweka kila kitu mezani sasa ili ipatikane suluhu.

Suluhu nzuri na ya kudumu itapatikana pale mtakapo kubali kutuchinjia nguruwe,na itaanzia huku Geita.
 
Suluhu nzuri na ya kudumu itapatikana pale mtakapo kubali kutuchinjia nguruwe,na itaanzia huku Geita.
Oh nilimsahau na Slaa naye aliyesema kuwa nchi haitatawalika! aidha ajirudi na kuwaomba msamaha Watanzania au naye ashikiliwe na kuhojiwa na polisi.
 
Wapemba mna damu ya kunguni ....

Mambo yote haya yanatokea Unguja...lakini kesi kwenu...

Siku akifa Padri Pemba sijui itakuwaje
 
makafiri wanaraha sana,eti wanajifanya kukanusha na kujifanya wao hawahusiki na huo waraka,nani ataunadika?ila mi naamini mfanyaji hasemi,kama mnaweza fanyeni then tuone kifuatacho,,,nyie mkitoa vitisho mnajifanya sio na usitiliwe maanani,sasa kwa taarifa yenu ......fanyeni tuwaone,muhujumu miskiti,heee hamjui kama matatizo kama hayo yalishajulikana kabla na cha kufanya kishawekwa?anzani tu watu waanze kazi,watu wanaotaka au kulinda haki yao ni magaidi,

Kumbe mmejiandaaeeeeee. Kwanza nendeni shule mkasome ndio mnaweza kuwa hata na point ya kuonge. Magaidi wakubwa. Watanzania wanahangaika tunusuru namna gani kizazi kijacho nyinyi mnapanga kuuwa. Mmelaaniniwa na kizazi chenu chote.
 
Sasa kama wao huku bara wanaishi vizuri hakuna anayewahujumu halafu wao wanawahujumu wabara huko zanzibar unategemea wataachwa kirahisi hivihivi...Tena hawatapigwa na wakristo ila watapigwa na watu wanaowachukia kwasababu ushenzi wanaoufanya huko visiwani na hilo haliko mbali mimi namdogo wangu anakaa huko aliponisimulia wanavyonyanyaswa na panampemba mmoja mambo ninayomfanyia anatamani arudi kwao maana nilianza kupiga gospal akiomba ruhusa hata kama anaumwa namkatalia na huwa simsalimii ila akithubutu kupita bila kunisalimia huwa anakoma mwenyewe...Manake nalipa kisasi sio kwakuwa ni mkristo ila kwasababu nachukizwa na watu wabaya

Mkuu kumbe FBI hata kazi ya upelelezi hawajamaliza, wewe tayari una majibu yote kuwa walohusika na wapemba.Pengine mwenzetu una mpaka majina ya walohusika, maana tayari jirani yako umeshaanza kumhujumu kwa kitendo chake cha kumuuwa padri.

Nakushauri ukapeleka jina lake polisi na ushahidi wako wote wa kuhusika kwake.

Remarks:
Nachelea kusema maoni yako ni ya mwisho kwa ujinga niliyosoma mitandaoni kwa muda mrefu!
 
Hata mkisema mmeua hamtafanywa kitu si mmekamata mamlaka bhana, hata akifa muuza unga semeni waislam wameua simmekamata mamlaka bhana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

An inane thing to say the least!
 
Pengo hana muda wa kuomba radhi magaidi. FBI kamata Seif na Jussa!
Pengo hajakanusha kauli yake kuhusu Wapemba waliouliwa na polisi mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuwa walikuwa na silaha pia akimaanisha mawe!

Katika wakati huu ambao juhudi zinafanyika kuhakikisha amani iliyopo nchini inaendelea kudumu ni muhimu sana kwa Pengo kujirudi na kuwaomba msamaha Watanzania wote kuhusu kauli yake ile yenye kuashiria chuki na utengano.
...ni wakati wa kuweka kila kitu mezani sasa ili ipatikane suluhu.
 
Nyinyi ni magaidi tu. Dawa yenu imeshapatikana. Muulizeni rafiki yenu Osama kuhusu yaliyompata! Chezea FBI wewe!
makafiri wanaraha sana,eti wanajifanya kukanusha na kujifanya wao hawahusiki na huo waraka,nani ataunadika?ila mi naamini mfanyaji hasemi,kama mnaweza fanyeni then tuone kifuatacho,,,nyie mkitoa vitisho mnajifanya sio na usitiliwe maanani,sasa kwa taarifa yenu ......fanyeni tuwaone,muhujumu miskiti,heee hamjui kama matatizo kama hayo yalishajulikana kabla na cha kufanya kishawekwa?anzani tu watu waanze kazi,watu wanaotaka au kulinda haki yao ni magaidi,
 
Ha ha haa! Naona umeanza kuiga misemo yetu! Waisilamu bana! Wazee wa kareti misikitini :becky: :becky: :becky:

Kumbe huu ni usemi wa Makafiri duu, nyie wazee wakueuzana visogo aka kudandiana! Teh teh teh
 
ingekuwa hivyo vipeperushi vimesambazwa na waislamu basi dunia nzima ingejua lakini kwa kuwa wakafiri ndo wanaohusika na habari hii wanahabari na wana jf kimyaa
 
makafiri wanaraha sana,eti wanajifanya kukanusha na kujifanya wao hawahusiki na huo waraka,nani ataunadika?ila mi naamini mfanyaji hasemi,kama mnaweza fanyeni then tuone kifuatacho,,,nyie mkitoa vitisho mnajifanya sio na usitiliwe maanani,sasa kwa taarifa yenu ......fanyeni tuwaone,muhujumu miskiti,heee hamjui kama matatizo kama hayo yalishajulikana kabla na cha kufanya kishawekwa?anzani tu watu waanze kazi,watu wanaotaka au kulinda haki yao ni magaidi,

janja yenu imeshitukiwa munaua wenyewe halafu munaandika waraka wenyewe ili ionekane wakristo ni wa uwaji kama ninyi.damu ya watu munao waua itadaiwa mikononi mwenu.
 
Back
Top Bottom