Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli kuwa watu kutoka Mbeya ni radicals? Kwanini inatokea mara nyingi Hudhuriwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kasimba G, Mar 25, 2013.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2013
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,523
  Likes Received: 517
  Trophy Points: 280
  Imetokea bahati mbaya saana asilimia kubwa ya wahusika wa utekwaji na uteswaji hata kuuliwa ni watu wa origin ya Mbeya. Kihistoria watu wa Mbeya haswa wanyakyusa na wandali hawakutawaliwa na wakoloni kama ilivyo kwa wamasai, wachaga, nk. Sababu kubwa ni kwamba wazungu walikuwa wanaogopa makabila ya watu wakali, wakorofi, waelevu na wenye hasira saana, ndio maana kuna baadhi ya nchi kama ethiopia ilishindikana kutawaliwa na wakoloni!

  Kwa huku kwetu Tanzania kama nchi kuna baadhi ya sehemu walizo tawaliwa na kuwanyenyekea wazungu na waarabu, lakini sehemu nyingine ilikuwa ngumu kwa sababu ya misimamo hasi ya jumuia husika.

  Kwa wanaofuatilia mambo ya nchi yetu, wakati wa uhuru, na mala tuu baada ya uhuru, matukio mbalimbali yalishawahi kuwakuta haswa wanyakyusa, kama kihistoria inajulikana wasomi wakati wa uhuru walikuwa wachache na walikuwa kama tunu ya taifa, lakini, kuna ukoo wa Mwanjisi waliwapoteza wapendwa wao wakati huo, mpaka leo hii haijurikani waliko tangu miaka hiyo ya sitini!

  Bahati mbaya pia imewafuatilia mpaka leo hii, matukio kama Mwakyembe, Mwandosya, Mwangosi, Ulimboka, Mwangosi na sasa la Kibanda, Woote hao ni wa asili ya mbeya na bahati mbaya wa kutoka kabila hilohilo la mwanyakyusa "watata wa wakolomi" je ni kwa bahati mbaya au historia inalifuatilia kabila hili ambalo wazungu waliamini kuwa wanajifanya waelevu na wakorofi? Au mamlaka wanalijua hili na wanafuata mkondo wa imani ya wakoloni? Je ni kweli watu wa jamii hii ni wakorofi?

  Kistoria pia wanyakyusa walikuwa wajanja wasiopenda vita, mfano mkubwa ni vita kati ya mwanyakyusa na wamalila, waliamua kumuoza binti yao kwa wamalila ili mradi wasipigane vita! Kiufupi walikuwa waelevu kama wazungu walivyowachukulia.

  Je serikali wana siri gani na watu wa jaaamii hii? au ni bahati mbaya?
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2013
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 10,323
  Likes Received: 3,485
  Trophy Points: 280
  CCM inawaonea sana Wanyakyusa, wasiposhtuka watamalizwa.
   
 3. M

  Mahonzelo Member

  #3
  Mar 25, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niliamini kuwa wanyaki ni radicals lakini wazee wa mila na vijana wa kada mbalimbali kupitia taarifa ya habari ya STAR TV jana, ilionesha watajimaliza wenyewe kwa unafiki wao. Wanajidai kulaani maandamano na kuona chadema ni chama chenye fujo huku wiki mbili tatu zilizopita wakati kambi ya chadema ikiwa huko walikuwa wanafurika kupita maelezo. ninashindwa kuelewa kama waliokuwa wanalaani jana walitumwa au kweli ni waoga wa vita au ni wanafiki au ni wapenda amani au walinunuliwa ili watoe tamko.
   
 4. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2013
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,694
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  mbeya ni lango!
   
 5. m

  mathabane JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2013
  Joined: Jan 27, 2013
  Messages: 1,475
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Ni wazi kabisa mleta mada anatuletea ushahidi wa kihistoria ambayo haelewi undani wake. Pamoja na hayo kutekwa au ku-uawa hakuwakilishi u-radical wa mtu binafsi au kabila lake kama ulivo mtazamo wako. Tuseme nini basi juu ya watu kama kama Mtikila, Lissu, Lema, S.Kubenea, T.Ndemara na wengineo wangi wa aina hii?
   
 6. K

  Kamili Gado JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2013
  Joined: Jan 10, 2013
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndimara na Kubenea hujui kilicho wahi kuwatokea? au bado ulikua kijijini?
   
 7. Gulaya

  Gulaya JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2013
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 658
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Hawa jamaa ni wakuda tu ndo maana wanapasuliwa kila siku..kujifanya ujuaji tu hamna lolote
   
 8. Kitaja

  Kitaja JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2013
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 2,320
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  umetoka lini jela?
   
 9. m

  mathabane JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2013
  Joined: Jan 27, 2013
  Messages: 1,475
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Ni wazi we ni mgumu kuelewa japo nmeandika kwa lugha ya kiswahili ambacho yumkini kila mtz anajvinjari nayo. Kwa kifupi nlitaka mleta mada atufahamishe kama hao watu nlio wataja nao pia ni Wanyakyusa. USHAURI: Siku nyingine jaribu kuwa na mtazamo mpana kwa jambo unalo taka andikia jamii kwani siku zote unacho andika au kinawakilisha mipaka ya ufikiri wako.
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2013
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,510
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nani kakwambia, hao wapuuzi wachache waliopewa vibahasha na kulishwa maneno in no way wanawakilisha mawazo ya wana Mbeya, ukitaka kujua subiri Mulugo aendelee kung'ang'ania madaraka mtaona...
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2013
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,510
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wewe ni mdogo wake na kaka Hamim Augustine..!?
   
 12. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2013
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tafuteni kabinti kengine ili muepuke kung'olewa meno bila ganzi! kumbe kama kaujanja hako mnako, mnasubiri nini?
   
 13. T

  Tabby JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2013
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,530
  Likes Received: 4,698
  Trophy Points: 280
  Wanyakyusa WANAISHI KWA KUSHIRIKIANA SANA. wakipatana jambo wanalifanya kwa pamoja. ni wa mbeya sana, wanafanya kazi, wanafiki, wabaguzi wakubwa sana sana sana wa ukabila, wana wivu sana, hawataki new ideas, waanajifanya kujua kila kitu hata wasiyoyajua. BURUDANI YAO KUBWA NA YA PEKEE NI MAJUNGU!. MAJUGU MBEYA NDIPO MAHALA PAKEE! WANATISHA MTU WANGU.
   
 14. INGENJA

  INGENJA JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2013
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 4,607
  Likes Received: 3,146
  Trophy Points: 280
  kama wewe ulivyo mnafiki,mshakunaku,mpambe,kihelele...still Nyakyusa is Great Land,the strong symbol of a great Nation
   
 15. Gulaya

  Gulaya JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2013
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 658
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  kitaja we kyela au kutukujuu..coz nyie wa kyela ndo balaa zaid na misifa yenu,kujikweza tu na kutaka kuonekana
   
 16. Gulaya

  Gulaya JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2013
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 658
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  me mdgo ake na kaka wilfred lwakatare
   
 17. T

  Tabby JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2013
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,530
  Likes Received: 4,698
  Trophy Points: 280
  You can say whatever you like but words shall never change your real rangi. Wanyakyusa ni watu wanafiki hujawahi kuona, wamejaa chuki na wivu kwa wageni na wajajidaji kujua vitu vyote kama unavyoonyesha hapa.

  HAKUNA MTU ALIYEFIKA MBEYA ASIYEWAFAHAMU RANGI YENU HALISI NA UNAFIKI WENU MKIWA UGENINI. UKWELI UNAUMA LAKINI NDIVYO MLIVYO!
   
 18. D

  DURACEF JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2013
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 239
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  wivu umekujaa kama mwanamke
   
 19. D

  DURACEF JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2013
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 239
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  mfa maji.....
   
 20. Kitaja

  Kitaja JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2013
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 2,320
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  Mundende kule malawi maana yake ni gerezani,hebu tuambie wewe unatoka malawi au umeiga tu hilo jina
   
Loading...