HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

ndg yangu ze marcopolo, eddie na mandown hivi hamkuwahi kufikiria mambo mengne yahusuyo matatizo ya watz? mbn mnajitwisha mizigo isiyo yako?
 
ndg yangu ze marcopolo, eddie na mandown hivi hamkuwahi kufikiria mambo mengne yahusuyo matatizo ya watz? mbn mnajitwisha mizigo isiyo yako?

Soma tena ulichoandika uone kama utakielewa. Kama wewe umeshindwa kuelewa, mtu mwingine atawezaje?
 
sikila kitu cha kubeza mm ni ccm damu kinacho takiwa ni kujiuliza toka lini unakua na meli hujui kilicho bebwa?kumbuka tembo wanaisha mjukuu wako atakuja kuona tembo na wanyama wengine kwenye picha na zoo.Ukitaka kujua watu wanaleta masihara kwenye maliasili za nchi kuna mzungu alikamatwa na meno ya tembo hadi leo hakuna kinachojulikana na mzungu alikua anamiliki plot bandalini usilete siasa kwenye maliasili za nchi

Usikubali kulaghaiwa.

Msigwa ameshitakiwa ili apeleke ushahidi wa UDAKU alioongea Bungeni, lakini cha kusikitisha ni kwamba Msigwa anaomba suluhu nje ya mahakama. Huo ni ulaghai...
 
Msigwa katia aibu kubwa leo.

Bora angesoma tu hotuba yake kama wabunge wengine, sasa yeye kajitaaaaaaaaaaaaaaaaamba kumbe hana kitu kipya.

halafu kumbe hotuba yenyewe kaandikiwa yeye kazi yake kusoma tu, hata anavyoongea havijui!

Kwani mlitaka afanyeje? Kuhusu ujangili hakuna jipya zaidi ya kuwanyonga wahuska bila kujali wana cheo gani serikalini au kwenye vyama vyao. Period!
 
sijakuelewa mch wa nguruwe?wa kanisani au wamwituni?

Ukiona mtu kwa makusudi anaamua kumwita mbunge ambaye pia anafahamu kuwa ni mchungaji wa kanisa,yaani, anaye chunga watu kiroho kuwa ni mchungaji wa nguruwe ujue bila shaka ana pepo wachafu na wala huna sababu ya kujadiliana naye usije ukashiriki dhambi yake.
 
Badala ya kutetemesha ametetemeka mwenyewe,
Poor Msigwa, his days are numbered......!

NINAOMBA KUTOFAUTIANA NA NDG. LUKOSI....
[h=1]Topic: Waziri Kagasheki ataka maharamia wa Tembo wauawe![/h]

Page 1 of 2 12 Last Results 1 to 20 of 23

  • [h=6]View First Unread [/h]
  • [h=6]LinkBack[/h]
  • [h=6]Topic Tools[/h]
  • [h=6]Search Topic[/h]
  • [h=6]Rate This Topic[/h]

user-online.png
amakyasya

Today 09:28
#1
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 26th June 2013
Posts : 410
Rep Power : 397
Likes Received78
Likes Given23

[h=2]
icon1.png
Waziri Kagasheki ataka maharamia wa Tembo wauawe![/h] Wana jf;

Kufuatia kauli ya waziri wa maliasili na utalii balozi Kagasheki kwamba kila jangili anayekamatwa anaua wanyama naye auawe hapo hapo ni sahihi? Mimi binafsi sipendelei na wala sikubaliani na vitendo haramu vinavyofanywa na majangili au wahalifu wa aina yoyote ile lakini sidhani kama kutoa hukumu ya kuua bila kuwafikisha mahakamani ambapo ndio mhimili wenye jukumu la kutoa hukumu za uhalifu wa aina zote kikatiba.

Nimejiuliza hivi je kila waziri akitoa amri ya kuua wahalifu kwa uhalifu unaotokea kwenye wizara yake, je tutaelekea wapi? Je, mahakama zitafanya kazi gani kama mawaziri ndo watakaotoa hukumu badala ya mahakimu na majaji? Hapo awali waziri mkuu Mizengo Pinda naye aliwahi kutoa kauli kama hii bungeni juu ya mauaji wa albino kwamba kila anayeua albino naye auawe.

Je, kwa mfumo huu tutafika?

Nawasilisha.

ZAIDI, Soma hapa Kagasheki atangaza kiama kwa majangili wa tembo: Ataka wauawe

UANA CCM WETU USITUFANYE TUWE WAJINGA KWENYE ISSUE ZA NCHI NDUGU LUKOSI...USIIANGALIE TANZANIA KUTOKEA UGHAIBUNI.... NDUGU ZAKO TUNATAABISHWA NA WAPUUZI WACHACHE.

NAUNGANA NA KAGASHEKI.
 
Usikubali kulaghaiwa.

Msigwa ameshitakiwa ili apeleke ushahidi wa UDAKU alioongea Bungeni, lakini cha kusikitisha ni kwamba Msigwa anaomba suluhu nje ya mahakama. Huo ni ulaghai...

kiongozi vipi wabunge wanne waliotajwa na TANAPA kuwa wanausika naujagili wa tembo?narudia tena usilete siasa kwenye maliasili za nchi. tembo wanakwisha tuwe wazalendo wa nchi yetu tuache ushabiki usio na tija.
 
Huyu jamaa tangu abakwe na mbunge mmoja wa Arusha amekuwa na kisirani sana...
 
sijakuelewa mch wa nguruwe?wa kanisani au wamwituni?

Niweza kufanya dhambi nyingi lakini kumdhihaki mwenyenzi Mungu tunafanya makosa. Msigwa anajulikana ni Mchungaji wa Kanisa, sasa kusema ni mchungaji wa Nguruwe inamaana wale watu wanaoabudu hapo kanisani kwake ni nguruwe. Haya ni matusi
 
Msigwa ni school drop-out unatarajia nini kutoka kwake zaidi ya mipasho na mikwara mbuzi!. Hapo ndio upeo wake ulipofikia tumsamehe bure

Lkn hayumo kwenye mafisadi wa elima kama huyo nchimbi na look V
 
kiongozi vipi wabunge wanne waliotajwa na TANAPA kuwa wanausika naujagili wa tembo?narudia tena usilete siasa kwenye maliasili za nchi. tembo wanakwisha tuwe wazalendo wa nchi yetu tuache ushabiki usio na tija.

Je, unaunga mkono kesi ya Msigwa iliyofunguliwa na Kinana kufutwa?

Je, Msigwa kama anao ushahidi wa anayosema angelilia kesi ifutwe?

Wanaotumia ujangiri kama mtaji wa kisiasa ndio wanaoukuza ujangiri. Mmoja wao ni Msigwa.
 
Kwa mm navyo mfahamu kinana asinge kubali na warahawezi kushinda hiyo kesi kwani imeongelewa bungeni na pili kinana alimfungulia kesi tundulisu akiwa anataka kumvua ubunge akashindwa sasa kuusu msigwa kutaka yaishe hiyo si kweli kwani msigwa ndio aliye mwambia kinana wakutane maakamni jiulize swali ,gali linapo kamatwa na meno ya tembo ,gali linakatwa na mwenye gali anahusishwa na ujangili sasa kwanini kinana asi hushwe na ujangili kwa kuusika na meli yake kubeba meno ya tembo
 
Kumbe tatizo lako hufuatilii matukio.

FYI Kinana amemfungulia kesi Msigwa na Msigwa anaomba kesi hiyo ifutwe. Jenga utamaduni wa kukusanya taarifa sahihi juu ya jambo kabla ya kulijadili...
 
Back
Top Bottom