Recent content by Maholalelo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kazi za Kitaaluma Kugawiwa kwa Fadhila! Tumekwisha

    Ni shida sana kama mapenzi yanatufanya tuamini Mkaa ni mweupe,hivi kweli tunakubaliana na utaratibu wa kumpa mtu kazi ya kitaaluma bila kujua sifa yake kitaaluma? Hivi akija na cv inayoonesha ana elimu ya darasa la pili b,tutangaza kutengua uteuzi wake?Watanzania tutoke kwenye sifa za kijinga.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli kachukue Wanyarwanda uwaajiri watusaidie sehemu ambako kuna watendaji wabovu

    Hapa ndipo tunaposema kuna watu wanatumia tumbo kufikiri.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu

    Hivi kuna lipi la ajabu mtu kujiuzuru? Ina maana tumezoa kufukuzwa tu? Yawezekana ameona nafasi nyingine yenye maslahi kwake.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kufanya installation kwenye volcano box

    Nipo safari,niambie ofisi yako ilipo nikutembelee nikifika mjini
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Sifa ya nyota mbili ni nyota moja na kozi za uongozi za kijeshi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Wadau co vibaya kujua usichokijua kwani haifuti unavyovijua na hizi forum zipo kwa kuelimishana sio kubishana wala kubezana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Nilikuwa naona move za kimarekani wao wapo hivyo na huwa wanawataja kwa nyota zao mf.one star general kwao 4* ndio general na 5* Ni marshals
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Poa sikujua kama mfumo umebadilika vipi kuhusu utambulisho kwenye magari nao umebadilika?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    13.brigedia jenerali nembo ya taifa na nyota 3 14.meja jenerali nembo ya taifa na ngao 15.Luteni jenerali nembo ngao na nyota1 16.Jenerali nembo ngao nyota 2 Utambulisho kwenye magari Brgedia nyota1 Meja jen nyota2 Luten jen nyota3 Jenerali nyota4
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kufanya installation kwenye volcano box

    Wengi wanatumia volcano labda umekutana na issue ya ubinafsi tu,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu kuzima simu bandia unaendelea live TBC1

    Wanajamvi tupeni taarifa mikoa ambayo zoezi lmekamilika
  12. M

    JamiiForums Tanzania Updates zoezi la kuzima simu bandia

    Au tumesahau ni usiku wa kuamkia trh 18
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolea vifaranga

    Nimeona hizo bei lakini huja onesha mashine hizo zinatumia nishati gani na zinapatikana wapi?
Back
Top Bottom