Recent content by Mahir

  1. Mahir

    Mimi natania tu....

    na kuhusu Muungano je?
  2. Mahir

    Barua kwa Mke Wangu...

    dah! Kumbe huu msemo wa "siku ya kufa nyani...." una vimalizio vingi
  3. Mahir

    Wanawake mnakera sana kwa tabia hii

    Hapa hupiti tu, mi nahisi umekuja kutuhabarisha kuwa nafasi iko wazi, anayetaka na kuijaza aje!
  4. Mahir

    Barua kwa Mke Wangu...

    Barua ina maneno yenye ukweli wa asilimia zaidi ya 69% kwa wanaume. Mke wangu kipenzi (hata sidhani kama bado nastahili kukuita hivyo!), kama yote yakishindikana tafadhali usifanye jambo lolote zaidi ya hilo litakalokufanya ujutie maisha mbeleni. Ni heri uniache nife kwa dhambi...
  5. Mahir

    Barua kwa Mke Wangu...

    Mahir: Mento mke wa mtu sumu. Mento: Aaaa, wapi! Mi nina maziwa. Ona sasa, sijuwi maziwa yamekatika na kuwa mtindi. Ila ndiyo siku ya kufa nyani tena ivoo....
  6. Mahir

    Ndoa za .com

    mtoa mada nilijuwa ni Omari Kopa na kichin-pati, sorry kumbe ni Majaribu
  7. Mahir

    Ndoa za .com

    vibomba vimekukaa na roho. Kweli hii kwako mpya!
  8. Mahir

    Wanawake kutumia vibomba

    stock-photo-11629298- beautiful-attractive-happy- naked-girl-taking-shower.jpg
  9. Mahir

    Wanawake kutumia vibomba

    Sayansi na teknolojia. Ubunifu wa bidhaa lazima uendane na ubunifu wa matumizi ila kukuza mauzo.
  10. Mahir

    Mkuki Nje Ya Boma Lako....!!!!

    sawa kuchomeka mkuki ipo lkn ni ktk familia 1. Siyo anatoka mmasai wa huko anakuja kuchomeka mkuki kwangu, mbona itakuwa hapatoshi!
  11. Mahir

    Mkuki Nje Ya Boma Lako....!!!!

    hapa hatujifunzi kitu ila tunajifurahisha. Hii thread imewekwa baada ya mhusika kushiba.
  12. Mahir

    #kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

    coz ni pagumu hata kupakalia ushahidi
  13. Mahir

    #kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

    dah! Nilikuwa sijapata picha ila saivi nimesikia mshkaji alikuwa hajaridhika na usuluhishi alioutoa mama mtu. Mshakaji akaona mama mtu anampendelea mwanawe. Ndiyo aka......
  14. Mahir

    #kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

    hivi kumbe kala vya watu then hakutaka vyake viliwe!
  15. Mahir

    #kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

    hivi kumbe kala vya watu then hakutaka yake iliwe, au siyo?
Back
Top Bottom