Go ahead Zitto this is your time man go, go, go, go usikate tamaa achana na hao waliozoea wazee, wizi mtupuuuuuu!!!!!!!!!
Uongozi katika karne ya leo umri siyo tija, kuna viongozi wengi wazee duniani kote lakini wakitoa speech zao ni utumbo mtupuuu, haijulikani wanaongea nini, muangalie OBAMA...