Recent content by mahemba sr.

  1. M

    Hawa viongozi wa bunge hapana! Hatuwezi kufika, UKAWA tafadhali chukueni hatua

    Wabunge wa upinzani hawana jipya tena baada ya magufuli kupata nafasi ya kuiongoza nchi hii.hawana hata pa kuanza kuleta porojo zao na ukizingatia sasa ndo wamejaza wabunge kayumba kibao eti kisa wamechaguliwa na wananchi wakati hata kuwawakilisha hao wananchi wao wanashindwa wanabaki kufanya...
  2. M

    Watanzania ni wanafiki tusiojitambua

    Yaliyomo moyoni, Ni hakika tanzania sasa tumempata kiongozi,makini,muadilifu na asiyeyumbishwa na mtu yeyote zaid ya kufuata sheria na taratibu za nchi.naungana na mtoa mada watanzania ingawa sio wte lkn wamo wenye vijitabia kama hizo alizozitaja mtia mada hilo liko waz na ukiona mtu anabisha...
  3. M

    CCTV Camera yanasa tukio la kutisha la Ujambazi Salasala

    Kuna mtu ameitumi clips hii kwa fb.inafunguka vizuri tu.utaiona mwanzo mwisho
  4. M

    Shuleni mwaka 1930

    Tunaomba kujua ukweli wa hili jambo make mambo mengine ni kama kuidhalilisha serikali na hata wananchi wake.
  5. M

    Hussein Bashe: Membe amuache Rais Magufuli afanye kazi

    Ndiyo!kila mtu ana haki lkn sio kwa mtindo huu aloutumia mh.Membe,kwa wadhifa aliokuwa nao na alichokiongea ni wazi ana kitu ndani yke inamnyima aman kwenye utawala wa awamu ya tano.yawezekana na yeye ni fisadi.au ana kona kona aliyoifanya ktk utumishi wake.
  6. M

    Udhalilishaji huu wa wanawake ni jipu linalokua kwa kasi

    Raha ya mwenzio isikupe shida bidada,kama hilo lakukera tafuta namna nyingine utoke ki vyako,wenzio washatoka hivoo.
  7. M

    Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

    Labda kuna shida ya ufahamu juu ya kujibu au kuchangia mambo.lkn ni vizuri wakajibu na kuchangia kwan hapo pia tunawapima uwezo walionao ktk jamii na hata kuitangaza nchi yao ugaibuni!mastaa mclale jamani uwanja u wazi.
  8. M

    Hawa simu TV wana uhakika na ubora wa chaneli wanazoonesha katika app yao?

    Tupa mbali kabisa hyo app.haina mpango itakupotezea muda wa kufanya mambo muhimu.
  9. M

    Ester Bulaya awabwaga Waliofungua kesi ya Kupinga Ushindi wake wa Ubunge jimbo la Bunda Mjini

    Ni muda mzuri na wakati muhafaka wa kutunza heshima kwa mh.wasira,kila mfalme na zamazake,hakuna haja ya kuwa king'ang'anizi wakati kuna damu changa,na ukizingatia hao ndio waliowaandaa kuja kushika hatamu.sasa ya nn kuwa kama sumpilo kwenye mwili wa mtu? Namshauri mzee wetu alinde heshima...
  10. M

    JWTZ Yatoa ufafanuzi juu ya Mavazi ya Kijeshi aliyovaa Rais huko Arusha

    Mcpoteze maana ya "amiri jeshi mkuu"ile ni moja ya kaz yke na haswa iliyompeleka kule.kumbukeni hapa kazi tu.usharobaro kuleee!gwanda gwanda,suti suti.
  11. M

    UVCCM vyuo vikuu yasikitishwa na Membe kubeza juhudi za Magufuli

    Naungana nao ktk masikitiko haya!hata mm nimestushwa sana na kauli ya aliyekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, imeonesha wazi kwamba kumbe unaweza kuwa kiongozi tena ktk wadhifa mkubwa kama ule lkn ukakosa busara ktk mambo fulani, ni udhaifu mkubwa na unafiki wa...
  12. M

    Kurudia Uchaguzi Zanzibar, CUF watoa tamko

    Hakuna jipya zanzibar zaid ya tamko hilo ambalo baadhi yetu wanasema sio la kisharia.ndivyo itakavyokuwa.wasuse sisi tule.
  13. M

    Rais Magufuli alakiwa Arusha, akiwa ndani ya nguo za Kijeshi

    Wapinzani wasiojua nn maana ya upinzani wana shida sana,yaan bado wamekariri mambo yasiyokuwa na tija,ya uchakuzi ulopita.acheni hizo mambo,watu tufanye maendeleo tujenge nchi.siasa tiliziacha october 25.
  14. M

    Membe ananikumbusha Kolimba

    Hizo ni hofu za mfa maji.mm najiuliza je, kama membe angeweza kuwa mgombea kiti hicho urais na akapata angeongea hivo?!shida ni kwamba wana ccm wengi walijua ccm ni ileile iliyokuwa imejaa uchafu na kunuka ufisadi na rushwa kutawala.lazima sasa watanzania wajue hii ni serikali ya ccm.na...
  15. M

    Je, gari yenye spidi 240 inapitwa na ya spidi 180?

    Inawezekana,kama dereva wa 240 anaendesha spidi 50 na wa 180 anaendesha 80 kwa nn hiyo ya 240 isipitwe?!jibu ni ndiyooooooooooo!!
Back
Top Bottom