Hawa simu TV wana uhakika na ubora wa chaneli wanazoonesha katika app yao?

Petronfrancis

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
329
130
Niliposikia matangazo ktk vyombo vya habari kuhusu app. ya simu.tv kuwa inatuletea live tv nilifurahi sana. Lakini furaha hiyo ilikwisha kama sio kupungua baada ya kuona TBC1, Chanel 10, ZBC hazina ubora wa picha kabisa.

Na pia hivi karibuni wakaingeza chaneli ya DW ilikuwa na muonekano mzuri na wa kuvutia nadhani waligundua matatizo ya chaneli za bongo walizonazo wakaitoa fasta. Hata chanel 10 mda mwingine picha tofauti na sauti.

Hivi hawa SIMU.TV hawalifahamu hili tatizo au wanatuona sisi watazamaji hatujui ubora wa picha?

Hebu wana jf kama kuna mhusika humu wa simu tv atupe taarifa muhimu zinazoeleweka.
 
Niliposikia matangazo ktk vyombo vya habari kuhusu app. ya simu.tv kuwa inatuletea live tv nilifurahi sana. Lakini furaha hiyo ilikwisha kama sio kupungua baada ya kuona tbc1, chanel 10, zbc hazina ubora wa picha kabisa. Na pia hivi karibuni wakaingeza chaneli ya DW ilikuwa na muonekano mzuri na wa kuvutia nadhani waligundua matatizo ya chaneli za bongo walizonazo wakaitoa fasta. Hata chanel 10 mda mwingine picha tofauti na sauti. Hivi hawa SIMU.TV hawalifahamu hili tatizo au wanatuona sisi watazamaji hatujui ubora wa picha? Hebu wana jf kama kuna mhusika humu wa simu.tv atupe taarifa muhimu zinazoeleweka.
Mkuu kwenye simu yangu hiyo app nilijaribu sikufanikiwa kuona live tv Kama wanavyoinadi.
 
Back
Top Bottom