Recent content by Mahelane

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Magufuli anatosha wengine wa nini?

    Naomba mnijulishe undani wa magufuli kuhusu katiba mpya, na kwa kweli kama asipoongelea hil kura yangu ataisikia tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Sasa nimekubali, ccm ndio watakaoleta vurugu kwenye nchi hii. Huwez amin mimi binfsi nimepatwa na hasira mbaya sana juu ya jambo hil. Kama mambo ndo haya, natabili kuna watu watapondwa mawe mitaani. Watu wanaichukia ccm na bado Ccm inazidi kuchochea chuki!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenzangu,umejifunza nini kutoka kwa Dr. Slaa,Prof.Lipumba na Mzee Mwanakijiji?

    Hata hivyo mwanakijiji anaishi nje, hajui mateso ya ccm.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Hatutawaruhusu upinzani kwenda Ikulu

    Mwenzenu huyu jamaa nampongeza..! Kutoka kuwa mjanjamjanja musoma had kuwa mwenyekit wazaz taifa!! Ama kwel ccm..! Huyu bwana ni mhaya, elimu yake la saba, tunaomfaham ndio tunapata sababu na uhalali wa kukichukia chama hiki.. Na kama hawa ndio wapanga mipango wa ccm basi watanzania tumekwisha.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Interrogating CHADEMA and UKAWA decision of accommodating Lowassa (Uchambuzi wa kina kuhusu uamuzi w

    Mi naona hoja zako ni nzuri, kinachoniskitisha ni kwamba, mmeshachelewa..! Na ukikuta mtu anajadili mambo ambayo yalishapita, eitha mtu huyo anajuta, ameshindwa kufikia makusudio yake, anachuki na hivyo hasra zake zinaishia kwa aliyemshindwa, ana roho mbaya ambayo inampelekea kwenye tushindwe...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa matela CRDB

    Huyo alikuwa anaitwa mary. Umenikumbusha, alinilamba 50 nikaenda kwa maneja hakunipa ushirikiano, alikuwa na rafik yake pale sokon musoma, na mi nilikuwa mle sokon. Nilitangaza vita jion akaileta hiyo pesa.
Back
Top Bottom