Watanzania wengi tumemkubali magufuli kwa kuwa tumemchagua wenyewe,ni mtu wetu hashikamani na makundi ya mafisadi wala hajatumia fedha kuomba ridhaaa ya kuingia madarakani,ni mtu anayewajali wanyonge wote pale walipo.
napenda kuchukua nafasi hii kuwaasa watanzania wenzangu tusije tukaruhusu genge la watu wasio na dira kututalawala kwa kuwa hawana muda wa kuja madarakani ili kutunyanyua wananchi wa chini,hapa kimsingi anayetufaa ni magufuli.
naitazama tanzania itakayoongozwa na magufuli kuwa nchi ya asali na maziwa kwa kuwa uwezo anao,nia anayo,mwadilifu,ameonyesha njia kwa wizara alizosimamia.
pia anavaa viatu vya mwalimu nyerere kwa tabia yake ya kuwa mtumishi kwa kuwatumikia wananchi katika kujiletea maendeleo
Halafu kwanini hamjishangai kwamba mnaompigia debe ni mliojiunga juzi juzi JF?
Endelea kupiga posho mbaba njaa inakusumbua wewe.Day dreamer! Usijitoe ufahamu kwa kuwa umeahidiwa pepo ungali duniani....
Magufuli hakuwahi kuwa na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama cha siasa, niyo maana ameshindwa hata kumanage familia yake mwenyewe!
Amekuwa mtumishi wa serikali ya CCM kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi na tano sasa, anajua ukiritimba uliopo ndani ya chama chake na ndiyo maana hata yeye ameshindwa kufanya maamuzi pale alipoona inafaa kufanya..
Ni magufuli huhu huyu huyu anatakiwa kuwa chini ya mwavuli wa mwenyekiti wa chama ndgugu JK hadi mwaka 2017 ndipo akomae kupewa uenyekiti..
Ni magufuli huyu huyu mwenye maamuzi ya kukurupuka ambayo mara kadhaa yameigharimu serikali na chama chake, huku wengine tusiohusika tukibebeshwa mzigo wa kulipa fidia baada ya maamuzi yake kushindwa!
Wewe kama una mahaba naye kapige naye picha, ila sisi tulio wengi tunahitaji mbadala wa CCM, baada ya hapi tuanze moja, nao wapate nafasi ya kujifunza!
Wewe wasema, hapa kazi tu
Yap namkubali Magu kwa uchapaji kazi wake, ila nayakubali zaidi Mabadiliko...
anatosha kwa mamaaako
lowassa n rais wako kenge ww
akili matope za lumumba n majanga.
haXkutoshi kenge wew
Mchango wa Dkt. Magufuli kwa taifa ameudhihirishia Umma wa Watanzania kuwa ni kiongozi mchapa kazi kwa nafasi aliyoitumikia kama Waziri. Nafasi anayowaomba Watanzania kwa sasa ni ya Urais. Na mara zote ameendelea kusisitiza kuwa YEYE anatosha. Na kweli anatosha. Jitokeze Oktoba 25 mwaka huu umchague Magufuli awe Rais wako wa Awamu ya Tano. Tanzania Hoyeeeeeeeeeee!
Vigezo vya uchapakazi alivyonavyo Lowassa ni zaidi sana ya Magufuli, kwa hiyo tunaomba watanzania wasihadaike na rangi ya ganda la chungwa, ndani limeoza,
#MabadilikoNiLazima2015
Hamfrey Polepole amekuwa muungwana sana, amesema chama cha Mgufuli kimefanya mabadiliko ya kweli na wanapaswa kupongezwa. Amesisitiza tusiwe wachoyo kwa kujua hilo na kuthamini mabadiliko waliyoyafanya, hakuna mtu aliyetegemea kama Magufuli ataibuka kidedea na Kugombea nafasi ya Urais. Magufuli hoyeeeeeeeeeee! Tanzania HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
Mabadilikoooooooooooooo