achane kutafuta vita chamsingi nikuomba serikal iwatafute waliohusika but nakumbusha kuna watu wajinga sana akiuawa waupande mwingine mnasema kumbuka mwanza mwaka juz aliuwawa mwekiti wamkoa ndugu mabina watu wakashangilia nakusema ccm watu wameichoka leo imekuwa tofauti watu wengine nao...
binafsi nimeumia sana nanimekuwa nikiumizwa mno na aina ya matukio ya kinyama nawapo watu viongoz wa ccm mfano mabina,katibu mwenez kahama , kule nzega wakati fulan aliuawa kiongoz wa ccm leo mkiti mkoa wa geita chadema mie natofautina kidogo nawewe kuwa polis ndo chanzo hapana bali ninyi...
wewe nawe unachochea ccm tayar ishachukua dora na alphonce ubunge aliukosa kwa harari bukwimba akashinda usiku wa kuamkia leo ndo kulitokea hili yeye akitoka kwa kikao cha mikakati ya uchaguz wa diwan kata mojawapo katolo ambapo uchaguz uko jumapil wakati akiwa gar ili aludi katolo ndo katekwa...
naona unamihemko uchaguz wa zanzibar uliofutwa haukuwahusu wabunge wa muungano wanaotoka zanzibar labda tukukumbushe zanzibar uchaguz ulisimamiwa na nec na zec nadhan nikisema nec na zec hutaniuliza tena mana najua akili yako haina maji
pole fisadi pesa zetu ulizoziiba miaka mingi mungu ametuludishia kuna watu wanamaliza uchaguz wanamitaji mikubwa na wengine wakimalizia ujenzi ,wewe naona ulitaka ushinde mabaraza na jiji moja la dar,arusha na kilimanjaro kwingine kote umeisoma namba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.