Magufuli na CCM isimsahau Namelok Sokoine

Kansigo

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
2,670
Reaction score
2,156
Huyu binti ameonyesha msimamo thabiti na mapenzi yake ya dhati kwa chama cha mapinduzi. Amerisk nafasi yake ya kutwaa ubunge kirahisi na kutomuasi marehemu baba yake mzazi. Haikuwa jambo jepesi ku-overcome pressure ilokuwa inatoka sehemu mbalimbali hadi kwa watu wake wa karibu ili aiasi CCM! chondechonde CCM huyu binti ni symbol ya ukomavu wa kisiasa na ni symbol ya hayati Sokoine, nakuomba sana Raisi mteule una nafasi nyingi sana kama Raisi. JK hakumsahau, na wewe pia usimsahau!, ni njia pia ya kuenzi mchango wa Sokoine katika ujenz wa taifa hili.
Nawasilisha
 
kwa hiyo watoto wote wa Viongozi waliyopita wapewe madaraka au vip?
 
Khaa!!! Mmeanza tayari, Kwani alikwambia aliamua vile ili aje kuonewa huruma apewe mchongo? Alifanya vile kwa sababu aliamini kwa alichokifanya na akatimiza wajibu wake kama mzalendo na anajisikia faraja kwa hilo. Msimchoshe Rais wetu mwacheni atutumikie watanzania wote kwa ujumla wetu:yawn:
 
Rais afanye mabadiliko mambo ya kubeba watu achane nayo kila mtu ale urf wa kamba yake
 
Hapana mkuu kuna watu wamekosa nafasi lakini ni watu muhimu sana wana sifa za kutuongoza, basi siasa za kishamba ,ubaguzi ,ukanda, na kuendekeza vyama badara ya maslai ya watanzania,
Mfano
1,NAmelok sokoine,
2,David Misha
3, olesendeka,
4,H,mwandry,( tamisemi)

Hawa ni viongozi wanaotufa
Mh ,rais magufuli TUNAKUOMBA awachukue pamoja na slaa,
 
Nakubaliana wewe huyu dada siyo wa kuacha kabisa.

Kweli kabisa bro, nawaomba kufanya kila namna ya kufikisha ujumbe, maana hata magufuli mwenyewe tulimpigia debe sana humu atimaye akapata bila kusahau, Dr slaa,
 
Hapana mkuu kuna watu wamekosa nafasi lakini ni watu muhimu sana wana sifa za kutuongoza, basi siasa za kishamba ,ubaguzi ,ukanda, na kuendekeza vyama badara ya maslai ya watanzania,
Mfano
1,NAmelok sokoine,
2,David Misha
3, olesendeka,
4,H,mwandry,( tamisemi)

Hawa ni viongozi wanaotufa
Mh ,rais magufuli TUNAKUOMBA awachukue pamoja na slaa,

Kazi ipo mwaka huu tutaisoma namba
 
kwa hiyo watoto wote wa Viongozi waliyopita wapewe madaraka au vip?

Wewe hapa sio ishu ya watoto wa viongozi ishu ni uwezo wa MTU, huyu Dada anatosha na kwa taarifa yako monduli watu wanasikitika sana kuona mama huyu hajapita kama kama sio lowasa hakuna AMBAYE angeshindana naye,
 
Huyu binti ameonyesha msimamo thabiti na mapenzi yake ya dhati kwa chama cha mapinduzi. Amerisk nafasi yake ya kutwaa ubunge kirahisi na kutomuasi marehemu baba yake mzazi. Haikuwa jambo jepesi ku-overcome pressure ilokuwa inatoka sehemu mbalimbali hadi kwa watu wake wa karibu ili aiasi CCM! chondechonde CCM huyu binti ni symbol ya ukomavu wa kisiasa na ni symbol ya hayati Sokoine, nakuomba sana Raisi mteule una nafasi nyingi sana kama Raisi. JK hakumsahau, na wewe pia usimsahau!, ni njia pia ya kuenzi mchango wa Sokoine katika ujenz wa taifa hili.
Nawasilisha

Naunga mkono hoja
Mimi nakaa monduli HAKIKA huyu Dada ni kipenzi cha watu sana monduli, amechukua mahamuzi magumu mno, kuacha ubunge wake ambao ulikuwa wazi kabisa maana angehama hapa kuwepo upinzani ubunge angechukua,
Kama magufuli atamchagua na PENGINE kumpa unaibu waziri atakuwa amejipa heshima kubwa sana sana arusha,
 
nyie waarusha niwabaguz mliendekeza siasa za kikanda mmepiga kura za kijinga mkamwacha huyu dada eti kisa ukawa hamfai kabisa
 
Amewaliza watu wengi sana huyu binti, na ameilinda heshima kwa kiwango kikubwa heshima ya baba yake na heshima ya CCM MONDULI, ATLEAST CHAMA KINA PAKUANZIA!
 
Kosa la jk ilikuwa kugawa vyeo kwa Compaigners badala ya watendaji.Apige chini mtu yoyote asie mtendaji Siasa hakuna tena ni muda wa kazi
 
Na Mimi nisisaulike nafaa sana, kudadeki
 
Back
Top Bottom