Recent content by maharagwe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

    hata china inategemea misada jamani tusiwe sana mashabiki twende kwende kwenye uhalisia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

    wacha upuuzi uo kwani mkristo ataleta nn
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pinda: Serikali itajenga reli mpya Dar-Mwanza-Isaka hadi Burundi

    kwenye bia watu wanywe sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

    wampeleke MREMA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

    pale c yalioneshwa madaraja ya kuvukia na watu wanakata matofali kwa kichwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania New Boko Haram video emerged

    imewashinda ndege walioitengeneza wenyewe kuiona iweje watu? Ila mimi kwa hapa sina coment kwa sb dunia hii ni full propaganda sioni source ya habari yenye authenticity
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lawatimua mafunzoni Wanafunzi 212 kwa kugushi vyeti

    chonde chonde msije mkakagua na wa mitaani jeshi litakosa watumishi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Mkutano wa UKAWA - Kibandamaiti, Zanzibar

    nilikuwa hapo hzo ni zenyewe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasayansi kutoka nchini Japan, amegundua miwani ya ajabu

    iletwe bongo iyo miwani tuwaone ccm wanafkiria nini juu ya hii nchi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zijue Most Powerfull Intelligence Agencies duniani

    na CCM JE?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

    uamsho walichoma makanisa kuna ushahidi gani? Ni mwaka sasa waliwekwa kizuizini kutafutwa uo ushahidi wa waliyoyafanya haupo una habari kwamba kesi yao moja imefutwa kwa kukosekana ushahidi? Hii ni nchi ya propaganda ndugu kila anaetaka lake anaingiza propaganda yake afanikiwe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kenya, Rwanda and Uganda (COW) waendelea kutangaza miradi ya maendeleo bila ya Tanzania na Burundi

    Apo hadi chukua chako mapema(ccm) waondoke madarakani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania not happy with UK visa being processed in Nairobi

    ndo mana zenj nao wakataka nchi yao wafanye mambo yao kwao ni usumbufu kwenda nchi ya ng'ambo kufuata kitu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Gambia atangaza nchi yake kuwa dola ya Kiislamu!

    kwani waislamu wa vatican wanakosa haki?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Gambia atangaza nchi yake kuwa dola ya Kiislamu!

    mataifa ya kikrito kimfumo ni nchi za kikristo na huwezi kuwa mtawala kwayo bila kuwa mkristo tena hadi dhehebu liwe ni hlo tafuta nchi km uingereza,ujerumani italia nk.uone ukweli huu
Back
Top Bottom