Recent content by mahango

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dr. Slaa hapendi kuhudhuria mazishi ya wasanii wetu?

    umewahi kumwona wapi kipindi cha mkapa kwenye msiba wa wasanii au lipumba ulimwona wapi mkuu mawaziri wa wizara hiyo wanatosha,siyo kaka raisi wetu kaamua kushinda misibani tu sasa
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mkorofi

    huyu ni digital kaka uwe unampa ushindi tu kaka
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kwa wataalam: Kabla ya Kumla aandaliwe vipi?

    ni kweli lazima ujue sehemu mhimu ambazo mwenzio anasisimka ni mhimu kujua hizo sehemu ni mhimu sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

    ni kweli kabisa pia mimi mlugo namfahamu vizuri sana mweupe balaa jina alinunua la mtu mwingine uewzo mdogo sana ,ila mbwembwe nyingi sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Sikuogopa nilipoona mwanajeshi anapiga picha na mimi

    lema wewe ni jembe la ukweli kungekuwa na wabunge kama kumi na tano wenye moyo kama wewe chama kingekuwa pazuri zaidi,siyo kama kina zito ndumila kuwili siyo poa.kaza buti lema hakuna kurudi nyuma
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mke wangu alitaka nichoma kisu

    nashukuru wadau kwa mawazo yenu
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mke wangu alitaka nichoma kisu

    iringa
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mke wangu alitaka nichoma kisu

    wadau naomba mawazo yenu kwa hili jambo nifanyeje mimi na mke wangu kwenye ndoa yetu tuna miaka sita na tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume,kama ujuavyo mambo ya ndoa hamuwezi kuishi kama malaika ugomvi hutokea.ila kwa bahati mbaya siku moja kama miaka miwili tumewahi kugombana kidogo ila...
Back
Top Bottom