Recent content by Mahamba Yusufu

  1. Mahamba Yusufu

    Umoja wa Ulaya wamtaka Rais Magufuli aruhusu mikutano ya siasa

    [emoji72] [emoji72] [emoji72] [emoji72]
  2. Mahamba Yusufu

    Kwanini Mapadri na Watawa wa Kikatoliki hawaoi/hawaolewi?

    Kwa kuwa ni ya kiimani sitii neno,kila MTU ana haki ya kuamini kile anachoamini. Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
  3. Mahamba Yusufu

    NSSF Jipu au Kansa?

    Nchi hii imeenea majipu mwili mzima,kazi ya kuyatumbua ni shughuli pevu
  4. Mahamba Yusufu

    Jaji Warioba ni "Bwana Kero" tokea zamani

    Warioba ni zaidi ya hazina na tunu chache hapa Tz
  5. Mahamba Yusufu

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    singependa marumbano ya kidini hapa, muhimu ni somo la hisia hapa
  6. Mahamba Yusufu

    Kwa hofu ya kuzeeka, wasichana hufikia hatua ya kuolewa na yeyote au kuzaa na waume za watu...

    wanawake wenye uwezo kiuchumi hawana woga wa kuzeeka pia hawatamani kuolewa, na yaelekea siku za usoni ndoa hazitakuwepo bali kutakuwepo mahusiano tu ili kukidhi tamaa za mwili..
  7. Mahamba Yusufu

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    Raia wa tz amkeni na msimame kudai haki zenu, hakuna atayewasaidia ktk hilo bali ni nyinyi wenyewe.
  8. Mahamba Yusufu

    Rais Kikwete aonya juu ya kutoa ahadi zisizotekelezeka

    Fuata nayokuambia ucfuate nayoyatenda-mmh! fikiri kabla ya kuamua...
  9. Mahamba Yusufu

    SHIBUDA: Nimeichoka CHADEMA! Adai kachoshwa na kusemwa na viongozi wa juu

    Hivi watu wazima na akili zao waweza msema mtu bila sababu? Shibuda ajichunguze, asikwepe kukosolewa!
  10. Mahamba Yusufu

    Gazeti la Tanzania Daima hatarini kufungiwa...!

    kwa mtaji huu hata wewe ni mdini vilevile huna tofauti na wafia imani.
  11. Mahamba Yusufu

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Hongera mnyika kwa maelezo yako mazuri,ongeza juhudi na maarifa zaidi, utafanikiwa 2015
  12. Mahamba Yusufu

    Nani Mjanja anayempa mimba mke wa mtu au anayelea mtoto si wake

    mfumo wa maisha ya sasa ktk nyumba mkiwa na watoto 5 loose ball pia yumo humo, wengi wanapata hasara ktk hili bila kujua!
Back
Top Bottom