Kaka, simba na yanga ni miradi ya watu hiyo, ndo maana unaona hazipigi hatua kimaendeleo.
Kuna watu wanazitegemea hizo timu kuendesha maisha yao ya kila siku, wengine kuendeleza biashara zao n.k.
Zikiwa na viwanja vyao wale wanao wakodishia viwanja vya kufanyia mazoezi watakosa pesa, kumbuka...
Pale kwa mkapa wamefukia mauchawi yao ndo maana mechi zake nyingi hususani za kimataifa anashinda sana pale taifa, kule mikoani hawajaweka ndumba nyingi ndo maana anahangaika kupata matoke.
Nawashauri Yanga mwaka huu wafanye juu chini wayafukue yale matunguli pale kwa mkapa. Ndo maana Yanga...
Ulichoandika ni kweli kabisa, wale jamaa wamewekeza nguvu kubwa sana kwenye ushirikina, mechi zao nyingi wanashinda kishirikina, na kuna wachezaji wao baadhi perfomance zao zinatokana na nguvu za kishirikina na hao ndio wanao ndo wanaokuja kuamuwa ubingwa, utaona mchezaji mwanzo wa msimu hafanyi...
Hakuna ubabe, ila unatakiwa utambue kuwa mwanaume ndio kichwa cha familia, nikimaanisha kuwa ndio kiongozi mkuu wa familia, so unatakiwa uwe mtu makini sana na mwenye misimamo isiyo yumba. Wenye busara mambo yao wanayamaliza ndani au kwa watu wenye busara zaidi yao.
Ndugu yangu nyumba zinaficha...
Nina mke na watoto ila bado sijafikia hatua ya kuendeshwa na mapenzi wala mwanamke. Nimejiwekea kiwango cha kupenda sio mtu unapenda kwa asilimia mia matokeo yake unateseka na kuonekana kama limbukeni wa mapenzi.
Kuomba ni sio tatizo ila unaomba katika mazingira yepi ndo tatizo.
Unaweza kuomba...
Ndio maana mama Ester anamtesa mpaka anafikia hatua ya kuomba msamaa hadharani.
Mwanaume kubadili dini kwa ajili ya mwanamke huo ni udhaifu mkubwa sana, Kapombe ameonesha udhaifu na mama Ester analijua hilo ndo maana anamsurubu.
Mwanaume anatakiwa kuwa na msimamo kinyume na hapo lazima...
Wewe ni miongoni mwa Watanzania wachache wenye akili.
Watanzania wengi tunafikiri kujua kiingereza ndio kuwa na akili. Sijui ni nani aliye turoga na kutujaza ujinga huu.
Mara nyingi tuna pima uwezo wa viongozi wetu kwa kuangalia uwezo wao wao wa kuzungumza kiingereza badala ya kuangalia ufanisi...
Ule uwanja ni kwa ajili ya shughuli za kijamii, ili upewe ruhusa ya kuutumia kuna taratibu za kufuata.
Wanatumia hapo kulingana na mahitaji yao, hususani wingi wa watu wanao hudhuria shughuli hiyo. Uhuru ni mdogo.
Kingine ni hivi kipindi wanapewa kibali cha kutumia eneo hilo ratiba ya mechi ya...
Waislam sio bahili, sema waislam wanajitambua sana, na wanaitambua dini yao na mafundisho yao.
Waislam hawalazimishwi kuchangia kama mtu hana kitu. Wapo radhi kumchangia myu asiye na kitu na sio kumlazimisha achangie.
Pia waislam wapo huru kuhoji juu ya mapato na matumizi ya sadaka zao.
Na...
Mimi nadhani kwenye swala la kiimani ,tumuache azam na imani yake coz yeye mwenyewe anajua kama anafanya biashara na watu wa imani tofauti tofauti.
Na kitu kingine tukumbuke kuwa matangazo mara nyingi huwa yanalipiwa, labda kwa imani yake ameamua kuyalipia kwa njia hiyo.
Hawa unaowaitwa wakristo wa jamii forum ndo hao hao tunaoishi nao mtaani, sema tu humu wanatumia majina bandia.
Tatizo unafiki walio nao, kwa kuwa humu wanatumia majina bandia hawajulikani wanajifanya kuponda, tukiwa nao mtaani wanaficha makucha tunaishi nao poa kabisa, chuki zao wao wanazificha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.