Habari zenu wanaJf
Ninapenda kumshukuru Mungu nimefanikiwa kushika mil200 baada ya kufanya biashara ndogo ndogo kwa kila siku nilikuwa naweka 650,000 sasa nimefikia mwaka.
Sasa nataka hii pesa niiwekeze katika sekta ya viwanda sasa naomba msaada kiwanda gani naweza kuanzisha.
salam ndugu zangu
leo nimekaa nikamkumbuka kaka yangu tundu lissu kuhusu ile ajari aliyoipata ya kupigwa risasi sasa katika kuangalia angalia zile picha nikaona kama lile gari limepigwa upande wa kushoto na yeye risasi zimeingia upande wa kulia sasa najiuliza imekuwa kuwaje risasi zipigwe upande...
pilot huwa anapata shida sana kwenye kutua na kupaa sasa kwa mfano huu upepo wa dar rubani asipokuwa makini kwenye kutua na kupaa basijua lolote linaweza kutokea
Japo kwenye swala la wawakilishi kutotua uwanja wa ndege kwa sababu ya hali baya ya hewa ni kweli tanzania sasa hivi tunahali mbaya ya hewa lakini si hali mbaya ya mawingu bali kuna upepo mkali kwa upande wa Dar es salam hivyo ndege kutua au kupaa ni ngumu kwa sababu ya hali hii ya hewa
Habari zenu wana ndugu, kwa muda sasa nimekuwa na idea ya kutengeneza Aircraft sasa hapa nimepata dola 785,000 katika biashara zangu sasa nataka nikamilishe hii idea sasa ninaomba ufafanuzi kuhusu hiproject kwa hiki kiasi naweza kuitimeza idea yangu
Tuzo hii itakuwa na utata pamoja na ugomvi pale Diamond Platnums atakapo chukua tuzo katika vipengere vyote hapo ndipo utazisika timu za Kibakuli a.k.a kibanio na yule mmakonde watakavyo lia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.