Recent content by maguzu masese

  1. M

    Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    Changamoto kubwa kwetu ni kutokujitambua vyema
  2. M

    Kamanda Mawazo: Kilombero ni nchi ya Kaanani yenye Waethiopia na Wasomalia

    Leo nimetiza siku tano nikiwa ndani ya wilaya ya kilombero kwa ziara ya wiki moja ikiwa ni mwaliko wa mwenyekiti mwenzangu wa mkoa wa Morogoro ambaye ni mbunge wa viti maalumu mh.suzane Kiwanga.Ukiondoa mikoa yenye dhahabu kama Geita na Arusha yenye Tanzanite mkoa huu ni sawa na ile nchi ya...
  3. M

    Dr.Festors Limbu hagombei Ubunge jimbo la Magu

    Safi sana ukihitaji unpaid political strategist niko hapa.Utashinda vyema. " Nunua mwamvuli wakati wa kiangazi kipindi cha masika bei inapanda"- Nkumbi
  4. M

    Diallo: Rais ajaye awe dikteta mzalendo

    Mbona una give up mapema hivi? Please tuendelee nitakupeleka mdogo mdogo na lengo langu hasa ni kukubadilisha, Kama kwa mwendo huu hutabadilika itabidi nikulazimishe kwa nguvu. Unatoka kwenye hoja unakuja kunishambulia Mimi, bado hata Hilo limekushinda. Mimi siko huko hata ukinishambukia...
  5. M

    Kufa kufaana, Tanzania itumie wakati huu wa machafuko Kenya kujitangaza utalii.

    Katika dunia ya sasa ya ushindani wa soko huria hayo Mawazo ndugu hayana nafasi, waza vizuri utapata Majibu Mazuri.
  6. M

    Diallo: Rais ajaye awe dikteta mzalendo

    Hili somo Leo ndio limeniingia vyema hasa, maana imekuwa ikitokaea Mara kadhaa napotezea, baaaasi ahsant sana Kuongozi, nimejifunza kitu
  7. M

    Diallo: Rais ajaye awe dikteta mzalendo

    MODERATOR HUJANITENDEA HAKI KWA KUWEKA MADA YANGU NDANI Y MADA NYINGINE KWA KUFANANISHA VICHWA VYA HABARI, HII INAMAANISHA( kwa lugha Rahisi) 1- kuna jambo unataka kulificha. Maana hujui nimeandika lengo langu hasa ni nini, kuna kitu nimemaanisha ambacho hakimo ktk hiyo mada uliyoniweka...
  8. M

    WAMA ya Mama Salma ni NGO au kitengo cha CCM?

    Mzee Mwanakijiji, hili nalo umeliona. Ni dogo machoni na pia ktk fikra za wanasiasa wa upinzani kwa kuwa bado wanaamini ktk Mambo makubwa tu. Ila pia ni kubwa na hatari sana kwa upinzani kuliko hata hayo mambo makubwa wanayodhania kuwa ni makubwa( hili ni kubwa zaidi) na linakua zaidi na kuenea...
  9. M

    Diallo: Rais ajaye awe dikteta mzalendo

    Wewe ni miongoni mwa Watanzania Mashabiki, pole sana, umuhimu wa mtu sio lazima aje akuwekee pesa mfukoni AMA akununulie chakula nyumbani kwako.Hujui siasa wewe na wewe ni mfuata mkumbo tu Unanipa mifano miepesi sana na isiyo na maana kabisa katika hoja yangu. Nime andika siku fikiria kuhusu...
  10. M

    Membe alitupeleka china kutuandaa na 2015

    Maraisi wenye akili ndogo ya namna hii hata wakiwa 2000 kwa pamoja unawashinda hata Kabla ya kuanza mpambano. Hizi ndio sampuri zilizochukuliwa ktk kupima IQ ya Watanzania. Na kwa aina hii ya Maraisi ni wazi kabisa kuwa Wasomi wanaohitimu vyuo vya Tanzania hawakidhi viwango vya soko la ajira...
  11. M

    Wadau nisaidieni hii issue ya serikali 3 au 2

    Anza kufuatilia mada za mwanzo kabisa kipindi mchakato huu unaanza, zaidi Kama mdau alivyokueleza hapo juu, walioba aloshamaliza yote hayo hivyo fanya kutafuta nini alikisema kitakupa Majibu yote hayo na Kama kuna ziada karibu sana
  12. M

    Diallo: Rais ajaye awe dikteta mzalendo

    Kiongozi , Kamundu, Utakubaliana na Mimi kuwa ili Taifa lipige hatua hasa kiuchumi, Democrasia ni lazima iwe ya herufi ndogo. Na hii Democrasia ya herufi ndogo ndiyo hii niliyomaanisha inahitaji' Dictator Mzalendo' Kama ulivyochangia hapo juu kuwa Watanzania wanapenda Ushabiki ni kweli na kwa...
  13. M

    CDM, CUF na CCM, Hatuusemi ukweli kuhusiana na Muungano

    Kiongozi, mrelbattawy, karibu sana, acha wadau walio macho tubadilishane mawili matatu tuliyonayo, utatukuta njiani. Karibu sana
  14. M

    Tafakuri juu ya shirikisho la serikali tatu.

    Kiongozi, JingalaFalsafa, naona sasa moyo wangu unaanza kuwa mweupe maana siku zote haya mambo nilikuwa nashindwa ni jinsi gani mtu unaweza ukayaweka ili watu wayaelewe nashukuru kumbe siko peke yangu ktk Mtazamo huu. Ni kweli, hesabu za siasa zinawaelemea wanasiasa wetu, hii issue naamini...
Back
Top Bottom