Membe alitupeleka china kutuandaa na 2015

Membe alitupeleka china kutuandaa na 2015

Sisi marais wa vyama vya wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania tumelipiwa safari(nauli &pesaya kujikimu) ya kwenda na kurud China kwa gharama za mhe. kama njia ya kutaka support yetu wakati ukifika kutafuta kura 2015. CDM mtajibeba 2015 mmezidi ubahili.

Mkijali sana matumbo yenu na kufurahia rushwa namna hii ni hatati sana kwa taifa hasa kwa vijana ambao manjiita wasomi. Hii ni laana kubwa kabisa,vijana ambao tunadhani ndio wangeleta mabadiriko katika taifa hili ndio hao wakwanza kufurahia linavyo angamia, pole kijana kwa kuwa na ufinyu wa mawazo,,haya nakuuliza ukisha enda china utakuwa umesha iokoa familia yako na gharama za maisha zinazo sababishwa na utawala wa rushwa huu?? Hiyo ziara yan china itamsaidia familia yako kupata dawa wanapo enda hospitali za serikali??? Usijijali wewe tazama walio nyuma yako ,mjinga wa kufikiri wewe.
 
Elly B hata ungekuwa wewe unaletewa tiketi ya kwenda na kurudi China na hela ya matumizi utakataaa kisa nini?

Kwa kupenda pesa kiasi hiki ni dhahiri nikija na hela nikakulipia chumba cha kulala na hela ya kujikimu unanivulia chup , hii si akili ya kuungwa mkono na yeyote mwenye akili timamu si mwana ccm,cuf,nccr wala chadema, ni mwendawazimu na mwehu anaweza kuungana na ujinga huu.
 
Sisi marais wa vyama vya wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania tumelipiwa safari(nauli &pesaya kujikimu) ya kwenda na kurud China kwa gharama za mhe. kama njia ya kutaka support yetu wakati ukifika kutafuta kura 2015. CDM mtajibeba 2015 mmezidi ubahili.

kwa hiyo?
 
Kama kweli na wewe unajiita msomi, nchi imeisha. Hivi virushwa vidogovidogo vitawadhalilisha Sana. Kwahiyo ulitaka chadema wawafanyeje?

kweli? Mtakuja kuolewa hivihivi na tamaa zenu hizi. Baba yako mzazi mbavu zinahesabika kwa dhiki we unachekacheka eti mmepelekwa China.
 
undugu wa Jk na Membe ukoje?....naskia majamaa ni ndugu!!!"
 
Kushney mshafanywa ma kontena ya unga mwenzetu apige mawe ya kampeni furahia ila kaa ukijua china si bongo unanyongwa ukiona within days nendeni salama marais kwani siku hizi mko wengi mpaka maji marefu nae ni rais wa wachawi na waganga bon voyage

sisi marais wa vyama vya wanafunzi wa vyuo vikuu tanzania tumelipiwa safari(nauli &pesaya kujikimu) ya kwenda na kurud china kwa gharama za mhe. Kama njia ya kutaka support yetu wakati ukifika kutafuta kura 2015. Cdm mtajibeba 2015 mmezidi ubahili.
 
Sisi marais wa vyama vya wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania tumelipiwa safari(nauli &pesaya kujikimu) ya kwenda na kurud China kwa gharama za mhe. kama njia ya kutaka support yetu wakati ukifika kutafuta kura 2015. CDM mtajibeba 2015 mmezidi ubahili.

we utamfundisha mtoto wa nani hata kuandika hujui?
Puuu ,mbaf.
Hizi ndio degree za miaka hii.
 
Sisi marais wa vyama vya wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania tumelipiwa safari(nauli &pesaya kujikimu) ya kwenda na kurud China kwa gharama za mhe. kama njia ya kutaka support yetu wakati ukifika kutafuta kura 2015. CDM mtajibeba 2015 mmezidi ubahili.
This is typical nonsense of ali time!

Yaani unajiita kiongozi wa wasomi wa chuo kikuu unadiriki kuandika utumbo wa kiasi hiki?

Yaani kwa kuwa mmehongwa safari ya uchina na anayetaka kuwa mgombea wa urais wa chama cha magamba, kwa hiyo mnataka Chadema nao wafanye ujinga huo wa kuwapeleka UK au Marekani ali uwaconvince wasomi wenzio wampigie kura mgombea urais kwa tiketi ya Chadema mwaka 2015?!

Kama ndiyo tunawategemea wasomi wa design yako kuongoza nchi hii kwa siku za usoni, basi tutarajie siyo mtaiuza nchi hii kwa vipande 30, bali mtaipiga bei nchi hii hata kwa vipande 2 tu!!
 
Thamani yenu ni kwenda China a kurudi siyo?? WapuuI nyie
 
Nyie ni wapuuzi kuliko upuuuzi japo mnapima upepo tu!!!!!! Kwa ujinga wenu mnadhani Mtz gani atampa kura Membe?
 
Maraisi wenye akili ndogo ya namna hii hata wakiwa 2000 kwa pamoja unawashinda hata Kabla ya kuanza mpambano.

Hizi ndio sampuri zilizochukuliwa ktk kupima IQ ya Watanzania.

Na kwa aina hii ya Maraisi ni wazi kabisa kuwa Wasomi wanaohitimu vyuo vya Tanzania hawakidhi viwango vya soko la ajira la ushindani, ( huendA hawa ndio walikuwa Kama mifano)

Na kwa wasomi Kama maraisi wa namna hii,ili kunusuru Taifa hili ni vyema tusijihusushe na kuingia ktk jumuia za washirika Kama ya Africa mashariki na pia hatuna haja ya kuendelea kutaka Democrasia maana bado watu ni watumwa.

Hoja yangu ya Kupendekeza " Dictator Mzalendo" ni kutokana na Maraisi Kama hawa eti baadaye uwape ofisi ya umma unategemea nini hapa kwa viongozi wenye akili ndogo katika akili ndogo?

Membe kwa mtaji huu tayari umeshashindwa, Kabla hata ya kushindana...Pole sana
 
Rais wa chuo ndiyo anaandika hovyo kiasi hiki kazi tunayo.
Haya twambie china mlikuwa mnafanya biashara gani make china zipo biashara nyingi mkuu.

Bila ya shaka yoyote ni biashara ya ukahaba ndiyo iliyowapeleka.
 
Elly B hata ungekuwa wewe unaletewa tiketi ya kwenda na kurudi China na hela ya matumizi utakataaa kisa nini?

kama unalijua hilo usipigepige kelele humu kuhusu mawaziri na viongozi wengine mafisad na wala rushwa, nao wanapewa sasa wakatae kisa nini? bahat nzuri utafiti wa IQ umefanyika, tunasitahil ile nafasi kwa akili hizi
 
Ww rais wa chuo gani? Usiejua Kama kupiga kura ni siri ya mpigaji? Ww mwenyewe hujapata wazo kwamba anaweza akakupeleka China halafu usimpigie kura. Hizo pesa hazitatoka mfukoni mwake ni pesa za walipa kodi CHADEMA hawana pesa za aina hiyo!!
 
.,nilidhani wewe utakuwa na IQ kubwa kwa angalau kupata uzoefu wa ughaibuni,kumbe hata ndogo iliyokuwepo nayo imeondoka...?!
 
Sisi marais wa vyama vya wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania tumelipiwa safari(nauli &pesaya kujikimu) ya kwenda na kurud China kwa gharama za mhe. kama njia ya kutaka support yetu wakati ukifika kutafuta kura 2015. CDM mtajibeba 2015 mmezidi ubahili.

uchaguzi Wa kukuchagua wewe uwe rais Wa Chuo ulifanyika ucku au? kama wewe nawe ni rais basi kazi ipo.
 
Back
Top Bottom