WAMA ya Mama Salma ni NGO au kitengo cha CCM?

Mzee Mwanakijiji, hili nalo umeliona. Ni dogo machoni na pia ktk fikra za wanasiasa wa upinzani kwa kuwa bado wanaamini ktk Mambo makubwa tu. Ila pia ni kubwa na hatari sana kwa upinzani kuliko hata hayo mambo makubwa wanayodhania kuwa ni makubwa( hili ni kubwa zaidi) na linakua zaidi na kuenea kila kukicha maana hakina mtu wa kulingooshea kidole

Mambo ya namna hii yapo ni mengi sana ila tuna yapuuza sana na ndio miiba inayotuchoma baadaye.

Something has to be done, huyu mama anafanya siasa.
 
Familia ya Mkapa ili kuwa familia iliyo elimika na ya kistarabu. Wewe uliona wapi mama Mkapa akiitumia EOTF katika masuala ya kisiasa kumsaidia mumewe? Kwanza Mkapa mwenyewe hakuwa anahitaji msaada wa familia kufanya kazi zake na zaidi alitenda kazi za kirais kuliko zile za kichama ndio maana Deni la nje lilikuwa linalipika na Hazina yetu ilikuwa inaweka akiba.
Sasa WAMA imekuwa kama UWT na inatumia fedha wakati mwingine za serikali.


Sent from my iPad using JamiiForums

Duh!! Wabongo! Leo hii mkapa kawa mzuri?!!!!
 
Duh!! Wabongo! Leo hii mkapa kawa mzuri?!!!!

Sina maana hiyo unayomaanisha. Anaweza kuwa fisadi mkubwa yeye Mkapa na familia yake lakini katika upuuzi huu wa kuchanganya mambo ya siasa za nchi na familia kwa kweli hakuwa hivyo. Na pamoja na ufisadi wake alikuwa anafanya kazi kama Rais zaidi kuliko mwenyekiti wa chama. Sasa hivi zimejaa blabla tuu ndio maana deni sasa ni matrilioni ambayo wataendelea kulipa mpaka wajukuu zetu.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Wama imezaa lake oil. Home shopping centre. Kamel oil. Panoni. Nk. Kwa hiyo ni mradi wa familia ya jk
 
Kwa mawazo yangu Serikali au Katiba ya nchi inatakiwa iweke bayana kazi anazotakiwa kufanya mke wa rais.Na pia kama ni NGO kiwepo kitengo au taasisi ambayo itakuwa chini ya ofisi ya rais na itaratibiwa na serikali ili kuondoa dhana ya kila rais atakapoingia madarakani lazima aondoke na NGO yake.Na hii itasaidia kuiwekea limit kwenye mambo yahusuyo siasa.
 
Heshima kwako Mzee Mwanakijiji,

Mkuu Mama Kikwete alipofanya ziara mkoani Mara alitumia gari la mkuu wa mkoa ambalo liliwekwa namba za kiraia lakini wakasahau kufuta namba zilizochorwa kwenye vyioo vya gari.

Mama Kikwete anapigania maslahi ya mumewe na familia yake. Bado anatamani aendelee kufaidi misafara mikubwa na ving'ora vya polisi hana ajenda ya kuwakomboa watanzania bali familia yake.


Kinachofanyika ni upuuzi wa kifamilia. Unaweza ukakufuru kwamba familia hii tangu wazaliwa hadi waolewaji ni tatizo. Huyu Salma sasa hivi eti ana IQ ya kukusanya wengine na kuwapa maelezo. Huyu ni mwalimu aliyekwishashindwa hata kusoma diploma akaishia kuachana na zoezi hilo.

Baada ya mumewe kupata Urais alikuwa hawezi hata kusoma hotuba aliyoandikiwa. kaanzisha WAMA.

WAMA ni wizi tuuuuuu! Hata mshahara wake yeye kama mwenyekiti ni mkubwa kuliko wa mumewe ingawa anakusanya pesa kwa kisingizio cha NGO.

NGO gani nchi hii inafanya mambo ya siasa? Stupid!!!
 
Back
Top Bottom