Recent content by maguu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uchakachuaji wa wazi kwenye picha ya meli iliyozama zanzibar

    Hata mimi nilishangaa sana kuona hiyo meli. je, Hiyo picha ya mv islanders wakati imebinuka ilipigwa na nani? na ipoje? waokoaji wetu wa mwanzo hawakuiona meli walipofika eneo la tukio , sasa picha imetoka wapi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Nani aliipiga picha mv spice wakati inazama, maana waokoaji walichelewa kufika eneo la tukio na kukuta meli imeshazama
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani alipiga picha MV Spice?

    Nani alipiga picha MV SPICE wakati waokoaji wa kwanza hawakujua meli imezama eneo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maoni: Naweza kupata mke kupitia JF?

    kafiganiga acha ukicheche, umechoma mia ,umeenda kupima HIV/AIDS. Basi unao na utakufa na umalaya wako. mhuni mkubwa wee. mambo yako ya kishamba.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kakuzalisha halafu hataki kutoa barua

    mwanaume kakuzalisha mtoto halafu hataki kutoa barua,ukimwambia kajitambulishe kwa wazazi hataki na anataka kuendeleza uhusiano. Je, huyo mwanaume ni mkweli au anataka kunipotezea muda tu. Tuna miaka mitano kwenye uhusiano.
  6. M

    JamiiForums Tanzania mwanaume kakuzalisha halafu hataki kutoa barua

    mwanaume kakuzalisha mtoto, ukimwambia nenda kajitambulishe kwa wazazi hataki, halafu bado anataka kuendelea na uhusiano na huyo binti. Je, huyo mkaka ana mapenzi ya kweli au ni mlaghai?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere College Inahujumiwa!

    kama ni kweli waachishwe kazi mar moja, si wazalendo hao, wana tamaa mbaya.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    hakuna utawala bora nchi hii
  9. M

    JamiiForums Tanzania Are tall men more desirable??

    tall men ni wazzzzzzzuriiiiiiiiiiiiiiiiii balaa,presentable than shotiiiii men who are always wabishi balaa kama ..................
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Mimi ni mfanyakazi wa Serikali nipo Mbeya, nina elimu ya degree ya sheria, ila ninafanya kazi tofauti na sheria, hivyo kutokana na ugumu wa maisha nimeona bora nikope bank ili niweze kuanzisha biashara kwa ajili ya kuongeza kipato.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara. Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo? Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa. Hiyo pesa nimekopa bank.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara. Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo? Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa. =========== SIMILAR CASES: =========== May 18, 2012: May 10, 2014: May 16, 2014...
Back
Top Bottom