Recent content by Magutwi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Umri wangu wa kuoa umefika

    Tafuta madrassa ya karibu hapo,mwambie mwalimu wa madrassa akutafute mwanafunzi wake aliyefikisha umri wa kuolewa kisheria za nchi na kidini..uchukue mke kilaini..me mwenzako ndo nilifanya hivyo nikajiopolea cheupe dawa wangu nipo nae paka Leo maisha yanaenda,..asubuhi nimeshamwachia shuka la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Silas furniture: Kwa mahitaji yako yote ya furniture (samani) za aina yoyote ile

    Kapiga picha kinachopatikana ofisini kwake,ukikubaliana na picha naamini ndicho utakachokikuta,..akipiga ubao ambao hauna vidoti doti ukaenda ukakuta vidoti doti siuta aanza lalamika...mwache apige kile chenye uhalisia na kinachopatikana..
  3. M

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    ..huo utaratibu wa yellow card unamiss final ulishafutwa unatumika kwenye group stages tu na quarter final..casemiro fainal yuko kama kawaida..ila labda mchezaji apewe redcard
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna kosa Kisheria Mpangaji anapoenda kumwambia Mpangaji mwenzake apunguze Kelele anapojamiana na mwenzake

    Cha kufanya ww ni kutafuta pesa kwa bidii ukapange kwenye nyumba yenye alminium window..hizo kero zote hautazisikia kama una madirisha yako smart..la sivyo tulia watu wafaidi rasilimali za taifa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje unapoona classmet wako ni kiongozi mkubwa Serikalini na mwenye maamuzi wakati wewe upo upo tu?

    Me classmate wangu ni BASHITE ila me ndo bado giza Nene..bado traffick hajaita
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimetofautiana na jirani yangu, naombeni ushauri

    ..yani niweke familia yangu kwenye wasiwasi wa kiusalama kisa jiran anataka aongeze thaman ya kiwanja chake..subra na uvumilivu wa hivyo ndo umeturudisha wengi nyuma...yaan ungetakiwa uje na thread yenye heading ya,JÀNA USIKU NIMEKATA MITI MINNE YA JIRANI,HAPA NASUBIRI KITAKACHOTOKEA NIPAMBANE...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Malaya wengi huwa hawapendi Wateja wao ( Wanaume ) kuvua Suruali yote wakiwa Faragha?

    Unavua suruali zote,unataka kulala hapo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mmiliki wa Mabasi ya HBS Express ajiua kisa kupunjwa mali

    ..hata mm ningejiua kituo Cha mafuta na mabaai matatu,utaweje kuishi sasa,maisha hayawezi kwenda kabisa,jamaa aliyejiua yuko sawa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi nitajuaje kama mimba hii ni ya kwangu?

    Utajua kwa kuona dalili za vitabia vya mtu mwenye mimba kama hivi ulivyovionesha kwenye thread..nazani ni yako mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa siku hizi mnatoa wapi pesa?

    Baba wakufikia ,MERIDIAN,SPORTPESA
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dharura: Je naweza kunywa dozi wakati nimetumia pombe masaa matano yaliyopita?

    We kunywa tu..ila unywe nyingi sababu hata dawa ikizengua hautajua sababu utakuwa umelewa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watumiaji Wa Sigara tukutane hapa

    ..huvuti sigara ila unagonga nyeto au kea sababu nyeto haijaandikwa kwamba in madhara...embu tuacheni huko
  13. M

    JamiiForums Tanzania Laana imenikumba, nimeshuhuudia wazazi wangu wakifanya tendo la ndoa

    ..ondoka nyumbani miaka ya kihenga bado imeng'ang'ania kwa mama..ona sasa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dizasta Vina: Zawadi nyingine kwa wapenda HipHop Tanzania

    yuko powa sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hizi biashara kwenye ugawaji wa dawa mtatuua wenzenu

    ..siunge Google ugonjwa..ukaenda kununua dawa
Back
Top Bottom