Wadau mimi uwa nasafiri sana kwenda South Sudan na uwa shughuli zangu zinafanya ni interact sana na Government officials, kwa kweli attitude ambayo serikali yao imeanza nayo ni yakusikitisha. Ni wajeuri, hawaheshimu mikataba na makubaliano yeyote, hali hii inatisha na watu wengi wanahofu na...