South African President Zuma to marry sixth time

mwitaz

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
315
93
South African President Jacob Zuma, who turned 70
last week, will marry for the sixth time next weekend when he takes his long-time fiancée, Bongi Ngema, as his fourth current wife, his spokesman said on Sunday April 22.
Polygamy forms part of Zulu culture and is legal in South Africa, and Zuma, a Zulu traditionalist, has 21 children, according to the presidency website. "President Jacob Zuma will be formalising his relationship with his fiancée by having a private traditional ceremony this coming weekend," said Zuma's
spokesman, Mac Maharaj. The ceremony will take place in Nkandla in KwaZulu Natal province, Maharaj said.

Zuma is also married to Sizakele Zuma, Nompumelelo Ntuli-Zuma and Tobeka Madiba-Zuma. He was previously married to Home Affairs Minister Nkosazana Dlamini-Zuma, and to Kate Mantsho-Zuma who committed suicide in 2000.

For official events, Zuma usually takes one wife on a rotating basis to serve as first lady

Source: Reuter
 
Dume la mbegu!. Lakini kama unuwezo wa ku-manage wanawake wanne na nyumba ndogo kibao, hiyo inaonyesha great leadership skills. Wengine ku-manage hata huyo mmoja ni kasheshe, ndio maana hata kuendesha nchi inawashinda
 
Kama kweli kuwa na wake wengi ndio kuonesha kuwa na good management skills then MSWATI wa SWAZILAND ndiye angeongoza kwa nchi yake kuwa na mafanikio makubwa given that the guy adds one more wife annally; lakini takwimu na hali halisi ya maisha ya waswazi havioneshi hivyo!
 
Ama kweli Afrika ina viongozi mahiri kweli kweli...ila fani na umahiri wao sasa! Sio wa karne hii ya 21.
 
photo_1334488028594-1-0.jpg

Huyu ndiye kigori mtarajiwa
 
Jamani naomba jacob zuma asome biblia na afahamu kwamba kuwa na wake zaidi ya mmoja hakuna amani wala furaha. Hata waliooa wake wengi wansema hakuna amani na utulivu. Mheshimiwa zuma mtazame yesu akusaidie kutafakari jinsi unavyowatesa kimawazo wake wengine ulio nao
mungu akufunulie hilo......
 
Dume la mbegu!. Lakini kama unuwezo wa ku-manage wanawake wanne na nyumba ndogo kibao, hiyo inaonyesha great leadership skills. Wengine ku-manage hata huyo mmoja ni kasheshe, ndio maana hata kuendesha nchi inawashinda

Una maanisha nini unaposema ku-manage wake wengi? Kuwahudumia?

Kama kweli ana uwezo wa ku-manage wake wengi, wale wake zake wawili wangeomba talaka? Kuna mwana mama mmoja ni Waziri kwenye Serikali ya Zuma, aliomba talaka. Sidhani kama ni kwa kupenda bali ni matatizo hayo ya "management".

Kuna mke mmoja wa Zuma anatuhumiwa kuwa na mimba body guard, japo Zuma mwenyewe amekanusha. Mpaka habari za mimba zikafika kwenye media, maana yake ni kwamba kuna ukweli kuwa mkewe mmoja alikuwa anatoka nje ya ndoa. Huyo body guard alimaliza mwenyewe (suicide) baada ya kugundua kwamba siri imevuja na hivyo akaogopa kwamba angeshughulikiwa.
 
Jamani naomba jacob zuma asome biblia na afahamu kwamba kuwa na wake zaidi ya mmoja hakuna amani wala furaha. Hata waliooa wake wengi wansema hakuna amani na utulivu. Mheshimiwa zuma mtazame yesu akusaidie kutafakari jinsi unavyowatesa kimawazo wake wengine ulio nao
mungu akufunulie hilo......

Yeye ni traditionalist na sijui hata kama ana muda wa kusoma Bible. Traditions za wazulu zinampa nafasi ya kuoa wake wengi kwa kadiri apendavyo na awezavyo. Tena huko kwao huwa wana traditions zinazofanana na za kwa King Mswati.

Bottom line ni kwamba huyu Mzee anapenda sana totoz, hata huyu mke ambaye wanasema atamuoa hivi karibuni amekuwa na mahusiano naye kwa muda mrefu na tayari walishazaa nae watoto wawili. Ilikuwa wafunge ndoa tangu mwaka jana, ila haijulikani ni nini kilizuwia. Kipindi chote hicho huyo mama alikuwa anapewa nafasi ya kusafiri na Zuma kama "First Lady" wakati ni kimada tu. Haya ndo matatizo ya viongozi wa Afrika.

Again, heri ya huyu ambaye karata zake ziko wazi, kuliko hawa viongozi wetu wengine ambao kila kukicha tunaambiwa kwamba ana mke Iringa, mara ameoa Uarabun, mara sijui wapi ana nyumba ndogo. Hizo nyumba zisizo rasmi zinatugharimu sana kwa mlango wa uani.
 
VIAGRA at work. Ni rafiki wa VASCO DA GAMA!!! But bora huhu Jacob anaweka public ili wananchi wake wajue kodi inayohudumia nyumba hizi kuliko sisi ambao dini inaruhusu but you do not want to declare ili kuogopa msururu. Be transparent and the truth will make you free!!! Ha ha ha wazee wanadumisha mila.
 
Back
Top Bottom