Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Huyu mkorea kusini dactari wa binadamu na mambo ya fedha duh , halafu alikuwa mgumu miaka 41
ndio kapata first born thomas jim .
ndio kapata first born thomas jim .
There was no chance ya Mwafrika kuongoza World Bank hata kama alikuwepo mgombea. World Bank inaongozwa na Mmarekani, na IMF na mtu kutoka Ulaya. It has always been like that and it will be so in future. Nilidhani kwa vile wewe ni CCM damu ungejua how these things work. lol Si ndio yale yale ya Millya kutupwa na kuwekwa William?
Huyu chief mpya nae hana experience of operating a World class business, no reference to any business accounting skills, or personnel management. But he is a scientist. I have a great respect for scientists and their work, but this is like putting an engineer in charge of heart surgery, but does the US really care?
Huyu bwana umewahi kuwa mkuu wa WHO na amewezesha kutoa dawa za UKIMWI zaidi ya watu 3 million katika muda mfupi kitu ambacho kwenye miaka hiyo kilionekana hakiwezekani na kuokoa maisha ya ndugu zetu wengi tu. Alianzisha mpango wa kutibu wagonjwa wa Kifua kikuu sugu huko Peru ambao unatumika dunia kote na ameanzisha shirika la Partner In Health (PIH) ambalo linasaidia watu duniani kote. Kudai kwamba ni Dr, kwayo hawezi kuongoza WB naona nima neocon propaganda maana wanaogopa kwamba jamaa ataleta mapinduzi ya kukomboa wanyonge, mbona Dr. Mahathir Mohamedi Surgeon ambaye alikuwa waziri mkuu wa Malasyia aliwezesha kuitoa hiyo nchi kutoka umasikini hadi nchi iliyoendelea?. Scientist wanajulikana kwakuwa makini kwenye uongozi na kuleta mabadiliko makubwa, labda ni wakati hata TZ tukatafuta scientist atuongoze tupate mabadiliko
Tunaye Balali huko. Ngoja apate uzoefu kidogo. Ataitoa Afrika kimasomaso Wamerekani wakishamzoea!
Inategemea na nchi ambazo zinazonyanyaswa kadri zitakavyoamka na kudai haki ya kuongoza chombo kama hicho.Mfano IMF,DSK former director kabla ya kesi ya ubakaji.Alijitahidi sana kuziintegrate nchi zingine,na hakusita kusema kuwa next director atoke bara lingine nje ya Ulaya.lini hayo mabadiliko yatafika...?
Huyu bwana umewahi kuwa mkuu wa WHO na amewezesha kutoa dawa za UKIMWI zaidi ya watu 3 million katika muda mfupi kitu ambacho kwenye miaka hiyo kilionekana hakiwezekani na kuokoa maisha ya ndugu zetu wengi tu. Alianzisha mpango wa kutibu wagonjwa wa Kifua kikuu sugu huko Peru ambao unatumika dunia kote na ameanzisha shirika la Partner In Health (PIH) ambalo linasaidia watu duniani kote. Kudai kwamba ni Dr, kwayo hawezi kuongoza WB naona nima neocon propaganda maana wanaogopa kwamba jamaa ataleta mapinduzi ya kukomboa wanyonge, mbona Dr. Mahathir Mohamedi Surgeon ambaye alikuwa waziri mkuu wa Malasyia aliwezesha kuitoa hiyo nchi kutoka umasikini hadi nchi iliyoendelea?. Scientist wanajulikana kwakuwa makini kwenye uongozi na kuleta mabadiliko makubwa, labda ni wakati hata TZ tukatafuta scientist atuongoze tupate mabadiliko
Ni swa na nafasi ya U "Pope". Kuna mataifa teule, kama ambavyo haiwezekani kwa mweusi kuwa mkurugenzi wa IMF, tusidhani kama iko siku kutakuwa na "Pope" Mweusi.Nililikuwa nasubiri kwa hamu kuona mabadiliko kumbe marekani wamelazimishia mtu wao kushinda. Kama inajulikana lazima mtu kutoka Marekani ashinde kuna haja gani ya kuitisha uchaguzi kama si unafiki?