Recent content by maguluashimba

  1. maguluashimba

    WaNiger Wamjadili Waziri Wetu Baada Kukata Utepe Na Kuwasha Umeme Kwenye Nyumba Ya Udongo

    Wewe pia akili zako haziko sawa, kapimwa pia na tumbo inawezekana unaminyoo inayokufanya usifikiri vizuri. Nyumba kama ile haikosi panya, mchwa, mende na wadudu kadha wa kadha ambao wanaweza kutafuna nyaya, hatimaye spark zinazowezwa kusababishwa na short circuit. Mwisho wake ni kijumba kile...
  2. maguluashimba

    Hivi, Hili Tanga Linalozungumziwa Ni Tanga Gani Haswa Wakuu...?

    Lile tambara linalofungwa kwenye mtumbwi, likajaa upepo na kuanza kusukuma mtumbwi, huitwa Tanga. Tambara hili hupandishwa mtumbwi unapotaka kuanzia safari na hushushwa wanapofika safari. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. maguluashimba

    Zifahamu faida za kutembea ardhini bila kuvaa viatu

    Huu Uzi mtamu kwelikweli kwani unatufundisha enzi za maisha ya mababu zetu ambapo kiuhalisia kwa sasa haiwezekani tena kuzirudia enzi zile. Enzi hizi zimejaa magonjwa mengi ambuki safura, kuhara, minyoo, tb, ......hali ambayo inafanya wazo la mkuu la faida za kutembea peku lisiwe na mashiko kwa...
  4. maguluashimba

    Mh.Rais aache ubaguzi wa kielimu. Mbona yeye alisoma kwa "Mature Entry Qualifications" na akapata mkopo Chuo Kikuu?

    Raslimali zikiwa chache lazima mgawanyo wake uwe unfair kwa wengine. Hivyo hata mkilalamika kivipi haitasaidia kitu. Mkuu kaamua kuwajali watoto wa walala hoi kidogo nao wafaidi keki ya taifa, ubaya wake nini?. Hapa Kazi tuuu, mtaisoma sana namba nyie safari hii.
  5. maguluashimba

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Sasa hii Kali, umesema kila aliyejaribu kutoa msaada anafariki, da unataka sasa na JF members tunaojaribu kukusaidia kimawazo pia tufariki??. Hapa humpati MTU, fariki mwenyewe.
  6. maguluashimba

    Sauti Kubwa: Kikwete anajilaumu, angemjua vema Magufuli asingempa Urais

    Fanya uchambuzi wa hoja iliyoko mezani mkuu, acha mihemko.
  7. maguluashimba

    Nifanyaje nini niweze acha tabia ya kupenda majimama?

    Za mwizi arobaini dogo, na zimekaribia.
  8. maguluashimba

    Urusi waahidi kumbomoa Marekani akishambulia Syria!

    Mkuu, wahenga walinena "Fahari wawili wapiganapo zinazoumia ni nyasi". Je, TZ yetu na nchi zinazofanana nasi nadhani ndiyo nyasi zilizotajwa na wahenga!!?.
  9. maguluashimba

    Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

    Ama kweli wahenga walinena "Elimu haina mwisho"
  10. maguluashimba

    Hoja ya kumfuta Nape Nnauye uanachama CCM

    Mkuu, Mimi sioni kosa la Mh. Nape katika hoja aliyoitoa bungeni kuhusiana na uchumi wa gas katika mikoa ya kusini na kama ilivyotafsriwa vizuri katika ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015. Nchi kugundua hazina kubwa ya gas kama ilivyotokea hapa kwetu Tanzania ni baraka kubwa na ni utajiri...
  11. maguluashimba

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Ujumbe safi sana huu, umejaa upako wa ki-MUNGU, tena umetolewa katika muda muafaka, nategemea walengwa wataufanyia Kazi, vinginevyo methali isemayo SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA, inaweza ikatimia.
  12. maguluashimba

    Sijawahi kumpenda mke wangu ila namuheshimu na ninaheshimu hisia zake

    Mkuu, nahisi kama umelogwa vile, ebu pita kwa wataalam ukatizamwe haiwezekani mtu hadi ukazae naye eti sasa unaanza kudai alikuwa wa kupita tuu, shit.
  13. maguluashimba

    Lissu: Kiburi cha Mbowe kimeniokoa

    Mkuu hadithi za kitoto hizo unazoandika hapa. 1.Hao wawekezaji wanaoidhulumu serikali aliwatafuta Lisu?, 2. Hiyo mikataba ya kifisadi aliiandaa na kuisaini Lisu?, 3. Hao walioshikilia bombardier aliwatafuta Lisu?, 4. Hizo kesi za barabara zilizisababisha bombardier kukamatwa Lisu anahusika...
Back
Top Bottom