Recent content by Magovongo

  1. Magovongo

    Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

    Kinachonisikitisha ni kuona msomi mkubwa kabisa anayebeba PhD kichwani mwake ameshindwa kuyachambua matatizo mengi makubwamakubwa kabisa yanayolikabili Taifa hili la Tanzania kwa miaka hii, akaoanisha na shughuli anazopaswa kuzifanya Rais wa wa Tanzania ya sasa kwa wingi wa matatizo yake, na...
  2. Magovongo

    Warioba: Hatutachukua mawazo ya Katiba majukwaani wala kwa Mashinikizo ya Vyama vya Siasa

    Ni kweli kuna mambo mengi sana yameachwa kujadiliwa na kupoteza muda mwingi juu ya serikali 3 au la, Lakini pia huyu mzee tusimwamini saaana, maana hawa jamaa tangu zamani wanatabia ya kulindana, hata siku moja huyu mzee haitatokea kuwasaliti wenzake wa chama alichotokea yeye na kushika nyadhifa...
  3. Magovongo

    Warioba: Hatutachukua mawazo ya Katiba majukwaani wala kwa Mashinikizo ya Vyama vya Siasa

    Ni kweli kabisa hata mimi nimeshituka juu ya hilo, maana muda nao ndo unakwenda hivyo huku wakikalia mjadala mmoja tu, na hayo maoni tunahitaji transcript ili tuamini, maana akina Nape wanatuzengua sana na kwakuwa wao wapo jikoni wanaweza kutuharibia katiba, na huyu mzee naye tusimuamini saaaana...
  4. Magovongo

    Mhadhiri wa UDSM auawa kwa risasi jijini Dar es Salaam

    Nakumbuka kuna mtu alileta hoja nzuri sana humu kuhusu pikipiki kuendelea kutoa huduma ya usafiri au la, tulichangia mawazo yetu, na mawazo mengi yalipinga pikipiki kuendelea kutumika kutoa huduma za usafiri. Hoja nyingi ziligota kwenye tukio kama hili la leo la kuuawa kwa mhadhiri huyo kwa...
  5. Magovongo

    Hotuba ya Rais Kikwete Mwisho wa Mwezi Julai: Amjibu Kagame!

    Anadharau sana huyu Kagame, tena mi ningependa atumiwe kabisa ujumbe kutoka kwa wananchi wa Tanzania, kuwa kauli zake za awali zibakie kuwa za mwisho, na asirogwe tena kufanya fyoo, this time tutasema naye kwa vitendo maana ametuchokoza na sisi hatuwezi kuendelea kudhalilishwa kipuuzi tu, ni...
  6. Magovongo

    Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

    Just do the best to workout, hebu kwa sasa achana na fikra za umri,jikite kwenye sehemu ambazo unazihofia huwenda asizitimize kama mme wako tukokana na umri kukuzidi, na kama ata perform vizuri hayo maeneo, then give him a chance in your life! Serengeti boys hawana adabu kabisa, na hatuhitaji...
  7. Magovongo

    HOJA: Bodaboda zizuiwe kutumika kama Usafiri wa Umma Tanzania (DSM)

    Ebana hoja imetulia sana, ni kweli pamoja na mambo mengine bado kuna haja ya kuuangalia upya huu usafiri. Lakini pia kuna haja hata wao kupangiwa route na vituo kama daladala, ili iwe rahisi kuwa monitor kwa namna fulani. Itakuwa ni rahisi pia kuwatambua wajanjawajanja ambao wakati mwingine...
  8. Magovongo

    10 Fish You Should Avoid to eat (and Why)

    Tafasri nyingi za biblia, haziwezi kuwa applicable leo, zitaleta shida kubwa sana kwa maisha ya mwanadamu hasa wa leo. Kwa mfano kuna sehemu inasema watu wasitumie majani ya chai ktk kuunga chai ila,na hilola kutokula samaki mwenye magamba. Kazi kwelikweli!!
  9. Magovongo

    Sitta: Katiba mpya izuie rais kubeba familia yake

    Tena huyu jamaa sijui kwa nini siku hizi anavunga kuwageuka wenzie, huu sio aina fulani mpya ya unafiki kweli?! Hawa ndio wanaofanya amendment hata kwenye amri kumi za Mungu, bila aibu!
  10. Magovongo

    Sitta: Katiba mpya izuie rais kubeba familia yake

    Kweli hili la familia lina mantic kuangaliwa, nadhani alimaanisha ukoo, ebana kwa vyovyote lazima ukoo wa Rais utakuwa mkubwa sana, Ile hulka ya mwanadamu kupenda kuishi kwa ndugu mwenye uhakika wa chakula, na wengine wa kujichomeka tu humo, sasa tabu inakuja wote hawa wanahudumiwa na Ikulu, noma!
  11. Magovongo

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Aibu tupu, na kwa hulka ya wauza unga huwa hawashindwi kutimiza malengo yao ya kijasusi, hivyo naamini kutokana na utangulizi wa barua ulivyosomeka kutoka kwa Punda wao, ulioainisha maeneo aliyokuwa akiishi na familia yake, tayari wamekwisha kumfahamu hadi jina lake, kwa hiyo ni rahisi kupanga...
Back
Top Bottom