Recent content by magodarenatus

  1. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza vita na Wacheza Uchi na wavaa nusu uchi, adai ni kupungua kwa Maadili

    Big up mr.president ndio maana nakukubari xana
  2. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania Magufuli, wewe ni Rais wa Tanzania sio Kanda ya Ziwa tu

    Ludewa hata naibu waziri tuu hakuna hili ni janga
  3. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joshua Nassari ampa tahadhari kubwa Zitto Kabwe

    Zittoo ni mzito kweli si kiumbe wa kawaida kma tunavyodhani nikikumbuka ajari iliyo muua mbatia jombe nilinyoosha mikono
  4. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua nani mtu mashuhuri katika siasa za Tanzania

    Lissu the Great
  5. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania Lucky Dube: Miaka kumi(10) tangu auawe

    Reggae in the bead reggae in the church reggae is everywhere R.i.p our hero
  6. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania Lucky Dube: Miaka kumi(10) tangu auawe

    Its a may b thing
  7. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania Nape: Nakuombea mjomba wangu Lissu, tulia upone kabisa kwanza kabla hujasema mengi

    Hata mimi naunga mkono angesubiri apone
  8. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

    Mungu wetu ni mkuu mmno
  9. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania Nape aeleza kwanini Dkt. Kikwete hakutengeneza uadui na wapinzani

    Duu huyu nape anaijua siasa vizuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    Maisha ya watanzania ni magumu sana na hatutegemei kodi za hawa watu masikini kulikomboa taifa kodi kubwa zipo kweny madinj na bandari. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania DW radio yamkaanga rais Magufuli

    Lisu even if he dies his legacy wil b rembered forever..... Sent using Jamii Forums mobile app
  12. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania Kafulila afunguka baada ya Magufuli kumsifia sakata la IPTL, asema CCM walimnyang'anya jimbo

    Ningekuwa rais ningekupa tuzo kwa magumu uliopitia ndugu yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania B.Fernandes: Mtanzania aliyekataa mshahara wa Mil 425 marekani arejea Tz

    35mil pm ni ndogo xana bora ujasiliamali tuu mimi mwenyewe nikajamba nani lakini sikosi 20mil. Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
  14. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania Je, TL angetulia angefaa kuwemo ktk timu makinikia?

    Kasoma harvad university TL yupo vizuri sema sisi vilaza hatuwezi mwelewa kapigania haya mambo siku nyingi kabla wengi hatujaelewa wizi uliokuwa unafanywa na hawa vibaka kongamano la wanavyuo mwaka 2009 pale maeneo ya mliman city wapinzani walitueleza sana kuhusu wizi huu wa madini lkn kwa...
  15. magodarenatus

    JamiiForums Tanzania Je, TL angetulia angefaa kuwemo ktk timu makinikia?

    Wagumu wa kuelewa wepesi wa kusahau mambo wasamehe hawajui walisemalo
Back
Top Bottom