magodarenatus
Member
- Feb 6, 2016
- 90
- 60
Kasoma harvad university TL yupo vizuri sema sisi vilaza hatuwezi mwelewa kapigania haya mambo siku nyingi kabla wengi hatujaelewa wizi uliokuwa unafanywa na hawa vibaka kongamano la wanavyuo mwaka 2009 pale maeneo ya mliman city wapinzani walitueleza sana kuhusu wizi huu wa madini lkn kwa sababu tumelaaniwa ndio maana hatukuelewa
Mimi nadhani ni vyema awemo kweny hilo jopo la wanasheria watakao kaa na hao wezi rais ifikie kipindi aweke siasa pembeni kwa manufaa ya inchi
Mimi nadhani ni vyema awemo kweny hilo jopo la wanasheria watakao kaa na hao wezi rais ifikie kipindi aweke siasa pembeni kwa manufaa ya inchi