Prince Chapee
Senior Member
- Jul 31, 2017
- 179
- 126
Nani aliipindisha?Ni bahati mbaya kelele zao haziwezi kumumfanya Mh. Rais aache kuinyoosha nchi. Wanapowaangalia akina Lissu basi wangekuwa wanawaangalia na wakulima pia. Lissu ni mpayukaji kukamatwa ni hadhi yake anayostahili.