Recent content by Magoa

  1. Magoa

    Unataka kuruka, umeagana na nyonga?

    Changamoto za baazi ya wachangiaji huwa ni Padua kichwa lakini hii isifanye mwingine kushindwa kufikia pale anataka Mimi niseme iliyokweli watz tumejaaliwa utapeli na hii ndiyo inapelekea hadi tunaigiza kwenye maisha yetu Maisha ambayo inatakiwa tuishi kwa uhalisia wetu sisi tunayaigiza hapa...
  2. Magoa

    Unataka kuruka, umeagana na nyonga?

    Sidhani kama wapo ambao wametokana humu na wameweza kuwa katika na kama wapo Mimi niwape kongole nyingi sana Mara nyingi humu watafutaji wanatafuta elimu sio wenza kwa ajili ya maisha kama wanavyojinadi
  3. Magoa

    Unataka kuruka, umeagana na nyonga?

    Mara zote humu mtafutaji pia anakuwa hayupo tayari kwa kina zaidi mtu anatumia muda wake kuandika kitu lakini huwa anafanya utani was kujaribu kweli nitapata? Unapo PM wala hana muda zaidi ya kuangalia wangapi same pm kwake huwa anafaja juu mzaha wake
  4. Magoa

    Natafuta mume

    Pole sana Salama Jay na changamoto za baazi ya wachangiaji wachache zisikufanye ukakata tamaa juu ya matarajio yako kumbuka kila muomba mungu hakosi akiombacho mimi nina imani kuwa muda ndiyo huu sasa umewadia wewe kupata mwenza
  5. Magoa

    Umri umefika, nahitaji mume mcha mungu

    Haya tena ndiyo mambo ya ujasiliamali huo jitahidi dada utafanikiwa
  6. Magoa

    Nahitaji mchumba

    Habari zenu wanajamiiforum Mimi nikijana wa miaka 30 naishi Dar maisha yangu ya wastani sio ya juu sana na wala sio ya chini pia elimu yangu ni ya kawaida tu Shida iliyoniweka hapa mtandaoni ni mahusiano nahitaji mchumba na hatimae aje kuwa mke wangu wa ndoa SIFA ZA...
  7. Magoa

    Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

    Ikiwa ni mungu amekujalia basi inshaallah La kama ni yamekuwa laini kwa 7bu ya kiboga basi achana na hako kamchezo
  8. Magoa

    Nahitaji mume mwema jamani

    Kama hautajali fanya mawasiliano na e-mail hizi saidisultani@gmail.com au magoaabasi@yahoo.com yako yatatimia
  9. Magoa

    Nahitaj mume!

    tembelea email hii saidisultani@gmail.com
  10. Magoa

    Natafuta mume aliye 'serious'

    Muonekano wako we humtaki huyo mume bali unaihitaji kazi yake zikowapi zile %50 kwa 50 nawe tafuta kazi kwanza kisha ndiyo huyo mume ni kitu gani kimekupeelekea usitafute kazi kwanza ? Kumbuka hata hao wanaume wa sasa wanataka mke mwenye kujishughulisha hamtaki mwanamke golikipa kama wewe kwa...
  11. Magoa

    Natafuta mume aliye 'serious'

    mmh hapo hakuna mapenzi ya kweli
  12. Magoa

    Ushauri wako unahitajika

    Habari za muda huu mimi ni kijana nilikuwa na uhusiano na msichana mmoja na tuliweza kupata mtoto mmoja wa kiume hakika ya mapenzi yetu yalikuwa mazuri lakini na mapungufu ya kibinadamu yalikuwepo tatizo la huyo msichana lilopelekea tutengane ni roho ya uchoyo alikuwa hapendi ndugu zangu...
  13. Magoa

    Nisaidieni hili

    Ulijuaje ?
  14. Magoa

    Nisaidieni hili

    Wachache wenye uwelewa kwani mlio wengi dunia imewashika kila wakati na saa za karibu yenu mnawaza upuuzi tu imeweka hapo mpate kumtambua mleta mada sio kwa jina tu bali kwa sura pia sasa nyie mwajadili picha badala ya mada husika
  15. Magoa

    Nisaidieni hili

    We king'asti ni maneno gani hayo unayoyaleta hapa ?
Back
Top Bottom