Recent content by maghorofani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

    Acheni uzoefu uchukue nafasi ukipewa urais na uwenyekiti wa chama unapewa mbona ni kawaida tuu au ni huo mwendo kasi unawatisha wala msiwe na wasiwasi mtauweza tuu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha TANESCO Morogoro Nacho Kitarudishwa Serikalini?

    Wakristo na waislamu wote ni watanzania acheni mabishano yasiyo na maslahi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mufti mfikishie salamu zetu Mh rais atapofika kama mgeni rasmi katika hilo baraza la Eid...!

    Kigezo muhimu iwe uwezo alionao mtu na wala siyo dini ya mtu tuzingatie hilo maendeleo yatakayoletwa na viongozi walioteuliwa ni kwa ajili ya watu wote bila kubaguliwa kwa dini zao.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Rudia utafiti wako utueleze na utueleweshe vizuri tatizo la vijana ni nini na unapendekeza suluhisho gani.
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo afariki dunia

    Pole wanafamilia ametanguli wote tuko nyuma yake RIP mama
  6. M

    JamiiForums Tanzania Okoa demokrasia

    There is no dictatorship, but only work take position
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lissu anyimwa Dhamana, kupelekwa mahakamani kesho

    Sasa hivi naona uhuru uliopatikana katika awamu ya 4 umeingia ukungu na awamu hii hakuna kuongea unachotaka kinachotakiwa sasa ni kazi tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Watakaowapa mimba wanafunzi miaka 30 Jela

    Miaka 30?!! Uamuzi huu nafikiri ni wa hasira
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Muungano: Wazanzibari wadai kura ya Maoni

    Huo ni ubaguzi kutaka kuwabagua watanzania kwa misingi ya bara na visiwani kwa taarifa hakuna kuvunja muungano kilichofanyika uwingereza ni kujiondoa katika jumuia ya ulaya kama vile jumuia ya afrika mashariki,jaribu kuelewa mambo ndg yangu na toa mifano ya kufanana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) atoa mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) anamtamani kimapenzi

    Kwa wabunge wa aina hii tusitegemee kwenda popote,ninafikiri awaombe radhi watanzania kwa kutumia vibaya muda wao
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete anaweza kumkabidhi chama cha siasa asiye mwanasiasa kukiongoza?

    Mwanasiasa ana sifa gani ambayo mzee wa hapa kazi tu anaikosa?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kupinga fujo za Mbowe, Mwanza

    Kama unaona alichofanya Mbowe kufungua kesi mwanza ni makosa nenda kapinge mahakamani mahakama iamue kama ana haki ya kufanya hivyo au la kupinga kwa maandamano
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ole Medeye akiri wabunge wa CCM wanapewa nini cha kuchangia bungeni

    Hongera sana ole kwa kusema ukweli msimamo wako ni mfano wa kuigwa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ole Medeye akiri wabunge wa CCM wanapewa nini cha kuchangia bungeni

    Ni ajabu kama wanaandikiwa mambo ya kuchangia basi hapo hatuna bunge huru tuna wababaishaji tu.
Back
Top Bottom