Ole Medeye akiri wabunge wa CCM wanapewa nini cha kuchangia bungeni

dah "kuachwa kuachwa kuachwa kuachwa ni shughuli pevu hasa kwa yule kwa yule uliyempenda wewe unakonda yeye anenepa kwa mawazooo " nimeukumbuka huu wimbo kumbe unaendana na hali anayoipitia ole medeye kwa sasa
 
Utasemaje muongo wakati yeye ndiye alikuwa huko bungeni ndani ya ccm na alikuwa anapewa pia nini achangie? Kweli ccm mmeanza kuumbuka
Mmawia kuna watu usiwajibu! Huyu alikuwa jikoni kama msomi??? katika ccm, alikuwa jikoni anaratibu kila kitu. Hawa shamba boy wa lumumba wnaandika maadamu wamepewa kazi ya kukabiliana na mabadiriko hapa JF. Tazama kundi zima limeshakusanyika thread hii
 
Daah sasa sijui wanaelekezwa na nani nini wachangie. Hizi inchi za kiafrika hizi na mfumo rithi kutoka ukoloni ni shida
 
Kama mambo ya kawaida ya nchi hii yanawashinda, wataweza kujadili mikataba ya kimataifa ambayo imekaa too 'complicated or technical'?
Mkuu kama wenye nchi walikubali kusaini mikataba 17 siku moja tena ya kichina unategemea mbunge atashindwaje kuwa kama mhuri tu bungeni?
 
Back
Top Bottom