Recent content by Magembejr

  1. M

    Ukawa Hakikisheni Kura Inayotumika Ni Ya Siri

    Katika ukawa kuna mamruki wang'olewe kwanza mwawajua?
  2. M

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Kwa mujibu wa takwimu za prof mosha alizo taja mkinga leo ktk startv ni kwamba serikali ya mapinduzi zanzibara imechangia miaka 3 tu gharama za kuendesha muungano kwa kipindi chote cha miaka 50 ya muungano,huku gharama zote za kuendesha muungano zikitoka tanganyika,kwa ufahamu wangu wa zenji...
  3. M

    Nimejongea

    Karibu hoja tamu humu ni kuwa mwana chadema ukiwa gamba umepotea hata hoja zako zitakua zina kuwa banned,tena watakung'oa mtandaoni
  4. M

    Mkutano mkubwa wa hadhara wa chadema leo kata ya magila- muheza

    Wanajamvi leo chadema wanapiga mkutano wa hadhara wa kujenga chama katika kijiji cha mikwamba kata ya magila wilayani muheza,mgeni rasmi katibu wa mkoa pamoja na makamanda mbali mbali,hivyo vyote mwakaribishwa taarifa hizi zimetolewa na katibu wa chadema muheza ndugu lukindo mohamed,kwakua nipo...
  5. M

    Narudi CCM

    Nenda bagamoyo kwa babu
  6. M

    Wabunge CCM Waiponda hotuba

    Tanganyika itarudi tu
  7. M

    Dr shein muungano wa serikali 2 ndio wenyewe udumu

    Uvccm wametakiwa wauenzi muungano wa serikali 2 akihutubia dr shein amewaambie vijana hao leo
  8. M

    Gazeti la mwananchi;JK AHARIBU MJADALA WA KATIBA

    katika gazeti hilo la leo limetoa maneno hayo,kwamba mjadala umekua mgumu kuanzia jumatatu maana hotuba ya jana imetoa uelekeo mpya kwa wajumbe
  9. M

    Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    Wengine zitto,kitila na mwigamba
  10. M

    Rais Kikwete ziarani mkoani Tanga

    Kuanzia tarehe 23/03/014 kukagua miradi ya maendeleo,swali kwake miradi ipi wakati viwanda,bandari na mashamba ya mikonge yamekufa?
  11. M

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Mungu mkubwa tanganyika itarudi tu japo kwakuchelewa
  12. M

    Najiandaa kwenda mahakamani kuidai Tanganyika

    Mahakama ya afrika pia tutafika kuidai tanganyika
Back
Top Bottom