Najiandaa kwenda mahakamani kuidai Tanganyika

Najiandaa kwenda mahakamani kuidai Tanganyika

Magembejr

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
618
Reaction score
76
Wana jamvi kutokana na yaliyosemwa bungeni jana,sasa najiandaa kwenda mahakamani kuidai tanganyika huru,nitaungana na mchungaji mtikila,hivyo naomba wale wote walio tayari tuungane hapa,tumeni majina yenu hapa na namba zenu za simu nita print page hii niwatafute ili tuunde timu kabambe,wapo wanasheria nguli watasaidia mchakato mzima
 
Jacob wila 0719399720 tukadai mahakamani tanganyika yetu tupo tayari


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Mahakamana itakwambia usubiri mchakato ushe kwanza.
 
tutajie hao mawakili tujiridhishe kama hawahongeki.
 
mkienda mahakamani ndio wanafurahi manake mnazidi kujipotezea muda,kwa nini msiungane kuwatoa hao wahuni wote kwenye madaraka tupate watanzania wenye nia ya dhati???siungi mkono hata kidogo
 
Wana jamvi kutokana na yaliyosemwa bungeni jana,sasa najiandaa kwenda mahakamani kuidai tanganyika huru,nitaungana na mchungaji mtikila,hivyo naomba wale wote walio tayari tuungane hapa,tumeni majina yenu hapa na namba zenu za simu nita print page hii niwatafute ili tuunde timu kabambe,wapo wanasheria nguli watasaidia mchakato mzima

Mkuu unapoteza muda tu. Mtikila jinsi anavyopenda mambo ya mahakamani angekimbilia muda mrefu! CUF wenyewe kwa kutumia mgongo wa "mgogoro wa kikatiba" kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walishindwa kesi vibaya sana ambayo ilikuwa na lengo la kuvunja Muungano mwaka 1995!
Endelea na shughuli zako Mkuu, njia ya Mahakama hutaiweza!
 
mkienda mahakamani ndio wanafurahi manake mnazidi kujipotezea muda,kwa nini msiungane kuwatoa hao wahuni wote kwenye madaraka tupate watanzania wenye nia ya dhati???siungi mkono hata kidogo

kwa akili zako kipi rahsi kudai haki mahakamani au kusubiri muujiza wa kuiondoa sisiemu
 
Back
Top Bottom