Mgombea wa Chadema Chalinze akiwa kwenye mkutano Kijiji cha Matipwili, kata Mkange

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
image.jpg image.jpg

Ni katika mkutano uliofanyika leo katika kata ya Mkange kijiji cha Matipwili, mkutano huo ulikuwa ni wa pili kati ya mikutano minne ya siku ya leo.........
 
Riz1 ndio hamna kitu magari mengi kabandika picha zake kutwa kuzunguka tu hamna kipya FUKAYOSI,KIDOMOLE kote hakuna maendeleo vijiji vimechoka kweli CCM inaleta umasikini tz.
 
cdm wamepoteza kujiamini kabisa, nowadays wale makamanda uchwara akina yericko, ben, molemo etc hawaonekani kabisa jamvini! Hivi kimewasibu kitu gani hawa jamaa?
 
CHADEMA endeleeni kupambana vinginevyo watatumia pesa kidogo ktk kampeni hivyo watu hawatamaliza nyumba zao
 
Sasa c bora chadema watu wanajitokeza wana kwenda kwenye mikutano sasa ccm na riz1 wanatoka na wana ccm dar na bagamoyo
 
Mkuu Ritz
Makamanda wa Chadema wanatia aibu sana; nilitegemea timu ya makamanda Mwita Maranya; Ben Saanane; Mohamedi Mtoi; Matola, Molemo na Mikael P Aweda iwe Chalinze kutia nguvu; yaani hawa makamanda kama issue haina ulaji huwaoni; Chalinze kwa makamanda hata kwa mguu walitakiwa watie timu Chalinze. Hii ni fedheha kubwa sana kwa chama kinachojinadi chama kikuu cha upinzani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom