Wabunge CCM Waiponda hotuba

Wabunge CCM Waiponda hotuba

] Mkuu hapo nilipobold naona alijisahau na kufikiri yupo kwenye vikao vya chama.Kama tayari anajibu la kila tatizo basi bunge livunjwe tusave hela za walipa kodi

Alizungumza baadhi ya mambo ya msingi lakini akaharibu kwa kuingiza mipasho ya chama chake na kurefusha hotuba kwa mambo yasiyo kuwa na mantiki kabisa!

Jambo jingine ambalo naamini sasa ni tatizo sugu ambalo lazima litafutiwe tiba kabla ya kutuletea matatizo makubwa ni aina ya Wabunge Wanawake wa CCM walioko ktk Bunge letu la JMT na Bunge Maalumu la Katiba. Hawa akina mama kutokana background ya uteuzi wao hawana sifa kabisa kuwemo ktk vyombo hivi muhimu ktk Taifa! Jana wakishangilia kama vile wako Taifa wakiangalia Simba na Yanga! Ni aibu!
 
Mkuu nafikiri hapo tatizo ni mteuaji. Tatizo si walioteuliwa ilikua inashangaza pale ambapo mkuu wa kaya alipokua anasoma hata kabla ya kumaliza wao walishaanza kushangilia kwa nguvu bila hata kujua nini wanashangilia. Ilionyesha wazi kuwa washangiliaji hawakua hata na muda wa kutafakari wala kusikiliza wao kazi yao ilikua kupiga kelele tu. Kama bunge limejaa type hiyo ya watu basi tusitegemee kupata katiba tusubiri pengine miaka ijayo twaweza pata watu wenye uchungu na nchi na hivyo watatutengenezea katiba .
 
] Mkuu hapo nilipobold naona alijisahau na kufikiri yupo kwenye vikao vya chama.Kama tayari anajibu la kila tatizo basi bunge livunjwe tusave hela za walipa kodi

Rasimu imeshawekwa. Pamoja na ukuu wa nchi, kwa kuwa yeye ni binadam anapokosea au kuteleza lazima tuseme ukweli. Rais jana alialikwa kwenda kuzindua Bunge. Lakini kwa mshangao wa wengi akajipa Ujumbe wa Bunge la Katiba na kuanza kuchangia akiwa kama Mchangiaji wa Kwanza kuchangia. Utofauti hapa ni kuwa ukiwa mkuu wa nchi kila neno moja unalotamka lina athari kubwa yaweza kuwa nzuri au mbaya. Kwa maoni yangu hakupasa kuchambua na kuwaambia kifungu fulani kina dosari kadha wa kadha, bali alipaswa kuwaunganisha wajumbe wawe kitu kimoja na waboreshe Rasim ili kupata katiba iliyobora!
 
Inashangaza sana hasa alipotoa kauli kwamba serikali 3 hazitawezekana kwenye utawala wake. Nimejiuliza mengi mno , pia alijikita kwenye kero za wavisiwani tu huku wabara waliopo visiwani akizifumbia macho kero zao. Kulikua na haja gani ya kutoa mipasho ya namna ile kwa tume ya warioba je hakuiona rasimu kabla ? Mkuu wetu jana aliteleza mno lkn kwa bahati nzuri sijui kama huwa anajali au kutafakari baadae. Kwa mtu mwenye kujali angejisikia vibaya mno mara baada ya kujisikiliza alivyokua anahotubia. Kwa mtazamo wangu pale katiba hakuna na nikikumbuka jinsi walivyokua wanashangilia hata bila kuelewa wanashangilia nini.
 
Uzushi tu mbona walikuwa wanagonga meza mpaka wakasimama hayo ni maneno yenu ya mtaani mnataka kuwalisha wabunge midomoni

Eti kuna mtu mmoja hapa kitaa alikuwa anasema waliokuwa wanagonga meza ni mademu zake au walikuwa/x-wake wote. Na wanawinda ukuu wa Wilaya.
 
Back
Top Bottom