Recent content by Magembe Juma

  1. Magembe Juma

    Hoja za Kijinga: Kukataa Uraia Pacha kwa Sababu za "Uzalendo" na "Usalama"

    Yaani mimi sitaki hata kuisikia huu uraia pacha unachingia matatizo ya ukosefu wa usalama. Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  2. Magembe Juma

    Uvaaji wa hijab kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania

    Mi nashauri wote wavae hijaabu ni vazi zuri kuliko kuonyesha mapaja! Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  3. Magembe Juma

    PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

    Mtu wa dini hafai kuongoza nchi, awe muislamu, mkiristo, budha, Hindu n.k.... Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  4. Magembe Juma

    Mimi Mchawi & Ndiye Niliyezamisha Meli Ya Mv Spice Islander-Bint

    Mimi hunipati kabisaaa, na mtoa mada kavurugwa!!!! Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  5. Magembe Juma

    Mwili wa marehemu meja Hatibu Shaban Mshindo aliyefariki nchini Congo wawasili Zanzibar

    R.I.P kamanda. Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  6. Magembe Juma

    Tangazo La TPDC..Kuhusu kupeleka Mabomba yakusafirishia Gesi Kutoka Mtwara!!

    Ilitakiwa process zote za gesi zifanyike mtwara kuvutia wageni kibiashara na kutengeneza ajira kwa watanzania kwani hata ikizalishwa mtwara mafisadi bado mtakuepo tu! Sasa kwa nini muipeleke Dar? Mnasogeza mrija karibu, halafu kwanini kila kitu Dar hamtaki na miji mingine ikue? Uonevu tu...
  7. Magembe Juma

    Timu za nigeria zatwangana 79-0, 67-0, zote zafungiwa!

    Habari yenyewe haina Kichwa sasa kupanda daraja la ngapi? Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  8. Magembe Juma

    Membe: Msije Dar wakati wa ziara ya Obama

    Simpendi kabisa huyu Obuma pamoja na Serikali yake, wanyanganyi tu na anakuja kupora rasilimali zetu hamna jipya. Tatizo viongozi waliopo katika Serikali ya Tz ni bora viongozi lakini si viongozi bora yaani I hate this government!!! Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  9. Magembe Juma

    Pinda: Bomu lilikuwa la Kijeshi na lilitengenezwa China

    We are looking together with the same solution. Tunahitaji watu wanaoweza kufikiri kama wewe, sio jitu linakurupuka tu halafu linaropoka ropoka tu! Police waue! Wakiua nasisi hatutokaa kimya lazima ufahamu hilo. Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  10. Magembe Juma

    PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Hawa viongozi wa Tanzania wanawekana tu madarakani kwani hamna kitu kichwani, najiuliza kwahii kauli yake je raia wakisema na wao walipize wanaposhambuliwa na polisi ni nani wa kulaumiwa? Think before you talk! Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  11. Magembe Juma

    Inakuwaje JWTZ wanatumia yahoo email?

    Tanzania kila kitu fake, naamini hata jeshi letu halina uelewa wowote kuhusu internet wakati kwa mara ya kwanza ilitumika kijeshi na wamarekani. Majanga haya! Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  12. Magembe Juma

    Habari za nje kuhusu bomu la Arusha mkutano wa CHADEMA

    hivi wewe chicco vyombo vya habari kuacha kutangaza hili tukio wewe ndio umefurahi! So inamaana watu waendelee kuuwawa? Ninamashaka na wewe acha kuwa kunguru. Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
  13. Magembe Juma

    Serikali iwe moja na iitwe Zanzibar, capital iwe ZNZ Town kama ilivokuwa 1700s

    Nyinyi wote unabishana upumbavu kwasababu maelezo yenu yanaonyesha wote nindugu hivi unafikiri watu watanga na wa mwambao wote mtawagawa kwamba hizo mile 10 ziwe ni sehemu ya Zanzibar, vipi kuhusu wale walio more than 10miles hawana haki ya kutumia bahari ile? Sijui ni lini binadamu watakuja...
Back
Top Bottom