Mimi Mchawi & Ndiye Niliyezamisha Meli Ya Mv Spice Islander-Bint

Status
Not open for further replies.
Muhahahaha ahadi zote hizo wameahidiwa hawa Jamaa ni kweli wamepotoshwa isije kuwa wengi hawafahamu maana lugha hiyo ni balaa.... poleni sana Waislam... na uzuri wengi hushindwa kupinga haya yote so ni ukweli tupu wameahidiwa... kisiri siri hukaa pembeni na kusema koran imekosema sehemu nyingine ila hawawezi sema wazi wazi kwani wanaamini koran haijachakachuliwa... kahtaan Ritz faby gombesugu

Mkuu Mlaleo, nakuomba tuulinde huu Uzi uwe Na maisha marefu tuweze kujifunza mengi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Gombesugu nimekupata Maalim!
Ila Naomba tuulinde huu Uzi ili uwe na uhai mrefu kidogo!

Mkuu Ntuzu,

Nimekusoma saana tu!

Yaani nimefurahika yakuwa leo umenijaalia fursa ya kuzungumza nawe japo kiduchu kwa mara ya mwanzo...Shukran!

Pia nimefarijika kiduchu,kugundua yakuwa kumbe humu-JF napo pia pana Wakristo Waungwana tena wenye hishma na taadhima kwa Watanzania wenzao wengine.

Yaani ninapokusoma,basi wanikumbusha ndugu yangu mwengine humu Mkuu Bukyanagandi...huyu nae dasturi/ustaarabu wake ni kama vile weye Mkuu!...yaani ni Mkristo muadilifu,msomi mzuri na pia ni muungwana/mstaarabu mno.

Tutazungumza siku nyangine...

Tuko pamoja Mkuu na pia nakutakia jioni njema.

Ahsanta.
 
Teh teh teh teh!
We shangazi kwa mipasho balaa! Mtoto lahja yako hiihoo!
Hapa ni hoja kwa hoja! Mambo ya rusha roho peleka kanisani!
Kule ambako watu wanakwenda kuabudu kwa kucheza mayenu na kutingisha maungo mpaka kunatokea mifadhaiko!
Acha kuaibisha kanisa la bwana!!

Jenga hoja!.matusi na kashfa ni kazi ya walevi.
Hao hata sio wa zehebu langu... pole au ndio umepandisha mashetani kwa kucheza Dhikri! na mishetani huwa ina lia hunha! ha ha!
 
Mkuu Ntuzu,

Nimekusoma saana tu!

Yaani nimefurahika yakuwa leo umenijaalia fursa ya kuzungumza nawe japo kiduchu kwa mara ya mwanzo...Shukran!

Pia nimefarijika kiduchu,kugundua yakuwa kumbe humu-JF napo pia pana Wakristo Waungwana tena wenye hishma na taadhima kwa Watanzania wenzao wengine.

Yaani ninapokusoma,basi wanikumbusha ndugu yangu mwengine humu Mkuu Bukyanagandi...huyu nae dasturi/ustaarabu wake ni kama vile weye Mkuu!...yaani ni Mkristo muadilifu,msomi mzuri na pia ni muungwana/mstaarabu mno.

Tutazungumza siku nyangine...

Tuko pamoja Mkuu na pia nakutakia jioni njema.

Ahsanta.

Asante Mkuu!
Naelewa Kua wewe ni ndugu Yangu Kwa Ibrahimu kwanini tugombane Mkuu? Na wakati Mungu wetu ni Mungu Wa Ibrahimu!
Nashukuru sn Mkuu Kwa hekima zako!
Nawe pia jioni njema!
 
Hao hata sio wa zehebu langu... pole au ndio umepandisha mashetani kwa kucheza Dhikri! na mishetani huwa ina lia hunha! ha ha!

Teh teh teh!
Utakataa madhebu mpaka ubakishe UHINDU!
Wewe UMESHAKATAA ukatoliki.! Usabato!. Upentecosta.! jeshi la wokovu.! Jehova witness.! Wabatizaji.! Kanisa la kristo! Siku saba! Lutheran! Avengerlist!
N.k
Sasa labda tukuite MGALATIA WA VINGUNGUTI!
Manake inawezekana wewe ukawa sio mwnakondoo! Ni mwanafisi!
Teh teh teh teh!

Cc faby
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mlaleo, nakuomba tuulinde huu Uzi uwe Na maisha marefu tuweze kujifunza mengi!

Huyu Mlaleo ni PURE GALATIAN!

Kujaribu kumfundisha ni kama kumpigia gitaa mbuzi. Ukitegemea atacheza. Hilo mkuu haliwezekani!

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chongchung,
Kuna hoja nyingi nimekuwekea naitaji uzifanyie ufafanuzi maana ningependa Huyo Roho atuongoze kwenye Kweli!
 
Huyu Mlaleo ni PURE GALATIAN!

Kujaribu kumfundisha ni kama kumpigia gitaa mbuzi. Ukitegemea atacheza. Hilo mkuu haliwezekani!

Teh teh teh teh!

Asante Mkuu,
Ila Huyo Mlaleo ni ndugu yako yakupasa umvumilie!
 
Last edited by a moderator:
Wee Bwabwa Mliwaleo aka Mlaleo...bado tu hujampata wa kukupakua huo ubwabwa wako!? Teeh! Teh! Teh!

Wee nguruwepori ulotapakaa najsi,utaipata wapi hadhi ya kuizungumzia Quraan!?

Acha kujifaragua hapa na uharo wako wa Islamophobia!...rejea kule kwenye ile thread nyangine ukaone jinsi Mtaalam Faby alivyokuchana kwa mipini ya yule pashkuna wako ulomuokota pale Corner Bar aka Mkeo!? Duh! Kudadeki!

Ahsanta.

Teh teh teh!
Maulana alhabeeby gombesugu nakusoma kaka na miwani yangu ya 3d.

Naona huyu mwanakondoo Mlaleo amekosa zizi la kulala leo! Anasapasapa kama wale panyabuku walio kanyaga kaa la moto!
Akienda kule anakutana na bakora za maalim faby akirudi huku anakutana na mikwaju yako maalim wangu
Teh teh teh.
Wallahi hii raha tupu humu!
Huyu kinyigori akijakufa mi ntalia sana!
Manake ndo clown humu!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom