Recent content by Magamba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uozo mwingine wa Serikali ya Kikwete huu hapa...

    Acha kujipa ujiko wewe, si lazima utaje nchi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nape ni mwanzilishi wa CCJ

    Nape Haelewi maana ya TWANGA KOTEKOTE. Nchi hii imeshachukuliwa na umma, kilichobaki ni kujadiliana nani kati yetu akakae magogoni.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nape ajibu makombora ya Marando

    Nape ni sawa na Computer isiyo na Processor wala Hard Disc.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mukama amponda Dr. Slaa Asema ni mchanga katika Duru za Siasa, Chadema ni hodari kusema Uongo

    NA WAANDISHI WETU - GAZETI LA UHURU KATIBU Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, amemponda Dk. Wilbroad Slaa na kusema ni mwanasiasa anayejifunza(Kwahiyo unataka kumfunza siyo?). Amemfananisha Dk. Slaa ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA na mtu anayebadilisha dini na kujifanya mjuaji kuliko aliowakuta...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kummaliza mh. Lema wagundulika

    Hapo kwenye Red, mlizonazo Wewe na nani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kummaliza mh. Lema wagundulika

    Source please. La sivyo siwezi changia udaku.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Hapo umenena. Mbona Executive Director wangu analipwa sh 10,500,000/= kwa mwezi licha ya kwamba kazi yako haina contribution kubwa kwa taifa. Je naye tumwite ni fisadi? Mbona Nape hasemi yeye anapokea shilingi ngapi kwa kazi ya propaganda? Huyu dogo Sijui kama anajua kwamba anajimaliza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

    Bila shaka huyu ni Riz1 mwenyewe. Mambo vipi Riz1, si bora uende mahakamani kama ulivyobeep?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

    Nimeipenda sana hii mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

    Ahsanteh dad Regi kwa taarifa. Peeeepoooooooooooooooooooooz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

    Hatudanganyiki. Peeeeeeeeeeeeeople's Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya MBOWE na ZITTO, nani yuko sahihi?

    Sahihi kwa lipi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya MBOWE na ZITTO, nani yuko sahihi?

    Mkuu kuwa specific , umetumwa nini? unazungumzia mgogoro gani? Enzi za ndiyo mzee zilishapitwa na wakati, CDM kuna Democracy ya kweli na si mgogoro.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la kujivua gamba CCM Zitto adai Serikali imejitia kitanzi

    unafiki Upi?
  15. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Walitumia bilioni 1.3 Uchaguzi wa rais 2010

    Kwa taarifa za kiitelijinsia nilizonazo, budget ya CCM kwa uchaguzi wa 2010 ilikuwa:- Helcopter 3@ tsh 2,0000,000,000/- = 6,000,000,000/= Kusomba wahudhuriaji 5,000,000 @ 5,000/- =25,000,000,000/= First Lady ndege na msafara = 4,000,000,000/=...
Back
Top Bottom