Recent content by magakaleee

  1. magakaleee

    Kufanya kazi na Lucifer kumenisaidia mengi kwenye maisha

    Kumbuka LUCIFER ni kaka mkubwa kwetu sema yy alipewa mda wa kutubu akadharau mda ukaisha, kilichobaki ni zamu yako na mm kutubu ili tusamehewe dhambi zetu mda ukifika haujatubu au ukafa bila kutubu tutaungana wote na kaka yetu kwenye jehanamu ya milele
  2. magakaleee

    Kufanya kazi na Lucifer kumenisaidia mengi kwenye maisha

    LUCIFER mkuu ni mzuri sana kimuonekano yaani ni hensamu boy ila wenzake ndo wanamuonekano wa ajabu ajabu mfano, ADONAIJA, anapembe yamechongoka kwa juu, hao wote ni malaika saba wakuu waliotupwa na LUCIFER,
  3. magakaleee

    Kufanya kazi na Lucifer kumenisaidia mengi kwenye maisha

    Tupe picha mzee baba tujue jamaa alivyo, tunaambiwa anamapembe
  4. magakaleee

    Kwanini silaha za Kirusi/ Soviet ni dhaifu zikilinganishwa na silaha za Marekani /West?

    Tatizo la warussia ni wabinafsi sana ndo maana hata kitu chao kinaonekana hakina ubora, mfano mzuri angalia kwa mtanzania mwenzetu dr shika alijitahidi sana kujiimalisha lakini wakamfanyia figisu eti ni FBI then akaacha kila kitu, hoja yako ni kwamba yeyote anayetumia vifaa au bidhaa za urusi...
  5. magakaleee

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Hakuna kitu hapo, mulianza kwa makeke laakini data siloo hadi kero, kumpata castoma care tu masaa kumi, kudownload vitu tu internet hakuna utadhani upo kuzimu, halotel mbona wameweza wakat nyie wa kitambo tangu nipo chekechea nawasikia
  6. magakaleee

    Hivi Rais analindwa na vikosi vingapi vya askari?

    Hapo hamna ulinzi wowote mkuu ni geresha tu ili utishike bahati nzuri sana tanzania amani imetawala, ebu angalia marekani walivyo makini huwezi kuona rais ameambatana na jopo la wanaume wengi namna hiyo lakini ulinzi uliopo ni hatari yaani hujafikiria hata kumkamata umedakwa, wanatuekitia tu...
  7. magakaleee

    Sehemu tano za kushangaza duniani

    Mwanza maeneo ya kamanga fell, na yenyewe ipo kwenye maajabu ya dunia. Jiwe kutoborewa na vijiti kama mti hadi leo kivutiio Sent using Jamii Forums mobile app
  8. magakaleee

    Sehemu tano za kushangaza duniani

    Hapo ndo penyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  9. magakaleee

    Kwa kauli hii ya kabudi, Kesho naandika rasmi barua ya kujitoa TUGHE

    Hii serikali tutashudia majanga Sent using Jamii Forums mobile app
  10. magakaleee

    Ni kweli kabisa Serikali yetu imekubali kuchezeshwa segere na CHADEMA?

    Toa na ushauri usiishie kueleza maoni yako Sent using Jamii Forums mobile app
  11. magakaleee

    VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

    Hawa watu wanaboa sana, hata mm imenitokea nikaamua kuanza upya nikijiona mnyonge niliyesahaulika, kwa sasa sina yale makeke za zamani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. magakaleee

    Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

    Mkuu sijakuelewa ulivyohitimisha kizembe wakati mjadara umeuanza sensitive? Nilitegemea utaelezea sababu zote lakini umeishia kuelezea sababu moja tu ukahitimisha na kwa masirahi binafsi kwa kutoa namba, kulikua na haja gani ya kuanza na mjadala si ungeanza na masilahi ndo unahitimisha na...
  13. magakaleee

    Kama Mungu alimshindwa Shetani, alimleta duniani kwa shughuli gani?

    Unamjua vizuri mungu we we? Chezea pengine usimchezee mungu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom