twende ChemkaSijui nani atanipeleka hata sehemu moja tu nikashangae [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah, lakini ni imani za watu tofauti tofauti, lakini haina uhakika kwa asilimia 100%
Ni noma sanaGet of hell
Pumbavu kabisa alafu tunadanganyana Tanzania kina maajabu
Rudi ulikotokaMsomaji nimepita na hapa
🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
[emoji23][emoji23][emoji23]Uumbaji wa Mungu unashangaza, ila sauti yako inakera
Sauti mbaya pia ni maajabu ya Mungu vilevile.Uumbaji wa Mungu unashangaza, ila sauti yako inakera
Ntarudi ukiwa kuna urazima ili kupitia rejeaRudi ulikotoka