Recent content by Magabo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba tofauti ya maneno haya yanayotumiwa serikalini

    Safi sana. Hutoi gari bandarini(TPA) mpaka umuone mzee TRA. Vinginevyo litaozea kule. The authority to control certain activity regarding specific issue (large scale) given by the Government (Power)
  2. M

    JamiiForums Tanzania Usiombe mwenye nyumba wako awe mzaramo, mndengereko, mluguru au mkwere

    Ila kwa makalangizo vimbogamboga hawajambo. Vimatembele, vijidagaa, vijimchicha, nyanya chungu, bamia, Astakhafilulah!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus wa BBC Swahili, amesema maisha ya London Magumu huwezi hata kusevu

    Daa! Sasa kama huyo kasema hivyo, mpiga maji atasemaje?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yajue mambo manne yanayomaliza sana hela katika haya maisha

    Kutaka kujikweza. Badala ya kununua Corolla ya 5,000,000/=, unasembua Harier 25,000,000/=
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

    Sorry, caution. Halafu gari ikiwa spidi sana usilazimishe Kona ya ghafla. Kama hali inaruhusu nyoosha moja kwa moja huku umekanyaga break.
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

    Sorry imeisha tokea. Lakini quotion ni kwamba katika situation kama hiyo ipe gari break ya nguvu bila kutoa gia (for manual cars)
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

    Alipendeza sana alipokuwa RFA
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Afisa tabibu Joseph Chacha Marwa aliyedakwa na TAKUKURU, Afikishwa Mahakamani

    H Hospitali nyingi za mikoani Cleanical Officers wanafanya upasuaji. Hasa Appendicitis
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gen. Mabehyo hili la mabaunsa wa bar kuvaa kombati za JWTZ mmelifumbia macho?

    Poa tu, nitaitumia nikiwa barabarani. Wataona kichwa na kifua. Ni kupiga mwendotu, Mbeya to Dar, 120kph
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gen. Mabehyo hili la mabaunsa wa bar kuvaa kombati za JWTZ mmelifumbia macho?

    Mkuu,Mimi Nina hamu sana na sare za Traffic police. Daaa!! Wakiruhusu hilo itakuwa poa kweli!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watawala hawataki kutoa ajira?

    Jamani muwe mnamwaga CV zenu hadharani, tunaziona, halafu piga kelele za ajira. Sio ooh!! yule beki wa Yanga pale alizembea, ilitakiwa amkabe yule namba nane! Nenda kakabe wewe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu Wa Mkoa Wa Kigoma ( CP) Andengenye, Ongea na RPC Na OCD Wa Kasulu.

    Hakuna Mkoa wenye watu jeuri na wabishi kama Kigoma. Akishakuambia "akayee magabo" jua imetoka. Hageuki nyuma. Kulikuwa na jamaa mmoja alikuwa anaitwa "mzee wa mabanzi", sijui yuko wapi siku hizi. Kidogo aliwamudu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mnaosubiri "pesa kuingia mtaani" fanyeni kazi. Siku zote ipo mtaani, muhimu ni kuifanya kuingia mfukoni mwako

    Kinachofanya pesa zijae mitaani kikubwa ni Serikali kuibiwa kama ifuatavyo: 1. Manunuzi hewa. 2. Safari za kikazi hewa. 3. BoQs hewa. 4. Overtimes hewa. 5. Wafanyakazi hewa. 6. Upungufu wa vitu muhimu kama sukari, hewa nk
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mhasibu wa KCBL Bank aliyekuwa anatafutwa, Ombeni Masaidi adakwa na TAKUKURU

    Hawa Wahasibu wa kisasa naona imekuwa majanga. Wanaiba na kukimbia.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 15 sugu mbaroni kwa tuhuma mbalimbali za kihalifu katika jiji la Dar es Salaam

    Kama sikosei, kwa nchi nyingine kesi kama hizi ni chini ya "Uhaini"
Back
Top Bottom