Takriban miaka sita baada ya muigizaji huyo wa filamu ya Black Panther kufariki dunia kwa saratani ya utumbo mpana, kaka zake, Kevin Boseman na Derrick Boseman, wamewasilisha kesi mahakamani kwa niaba ya wazazi wao ili kumsimamisha na kumwondoa mjane wa Chadwick, Taylor Simone Ledward, kama...
Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi
"Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia.
Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala...
Ila huyu mzee ni mshamba sana, hajui anachokizungumza, kweli pale Simba viongozi wao ni makopo matupu kabisa.
Peleka ushaidi sasa kwenye mamlaka acha kuropoka
==========
“Kuna watu wameahidiwa nyumba, wameahidiwa kujengewa maduka.” Kauli ya Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu
Baada ya kuwa timu ya kwanza kabisa kuifunga Ujerumani kwa mikwaju ya penalti katika historia ya Kombe la Dunia, sasa Paraguay inakabiliwa na nafasi ya kutinga robo fainali ikiwa itaweza kuwaondoa mabingwa wanaopewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa, Ufaransa, katika mchezo utakaopigwa jijini...
Umoja wa Machief wa Kabila la kisafwa pamoja na kabila la Kinyakyusa Mkoani Mbeya wamekutana Julai 02, 2026 kwa lengo la kupaza sauti zao kukemea na kupinga vikali Tetesi zinazosambaa Mitaani na Mitandao ya kijamii zikidai mapema Mwezi huu Julai Saba 2026 kutakuwa na Maandamano nchi nzima...
Wakili Richard Manyota amesema kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, watu wanaoishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili na kutambulika na jamii kama wanandoa wanaweza kutambuliwa kisheria kuwa ni wanandoa hata kama hawajafunga ndoa rasmi. Amesema sheria inatambua aina tatu za ndoa ambazo...
Baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika kwa sare ya mabao 1-1, timu hizo zilicheza dakika 30 za nyongeza bila kupata mshindi. Hatimaye mshindi alipatikana kupitia mikwaju ya penalti, ambapo Paraguay ilishinda kwa penalti 4-3 na kufuzu hatua inayofuata ya mashindano.
===============
Mabingwa mara...
Ecuador na Ujerumani wanashuka kwenye dimba la New York New Jersey Stadium, huku Waamerika Kusini hao (Ecuador) wakipambana kufa na pona kupata nafasi ya kutinga hatua ya mtoano dhidi ya Wazungu (Ujerumani) ambao tayari wameshafuzu.
Ecuador waliingia kwenye mashindano haya ya Kombe la Dunia la...
Wenyeji wenza wa Kombe la Dunia, Marekani (USA), na washiriki waliofuzu kutoka Asia, Australia, watachuana jijini Seattle. Mshindi wa mechi hii ana nafasi kubwa ya kujihakikishia nafasi ya kwanza mwishoni mwa mzunguko wa pili wa mechi (matchday two) baada ya timu zote mbili kupata ushindi wa...
Pamoja na kufunga goli la kuongoza katika dakika ya 59 kwenye mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya Korea Kusini, Jamhuri ya Cheki (Czech Republic) walipoteza mwelekeo na hatimaye kufungwa 2-1. Matokeo haya yanawaacha wakiwa na hamu kubwa ya kurudi katika hali ya ushindi kwenye mechi...
Huku kukiwa na malalamiko yanayoongezeka yanayohusiana na mzozo wa uhamiaji wa nchi hiyo, wasanii wa Afrika Kusini wanaripoti kufutwa kwa maonyesho yao na kupoteza mapato katika maeneo mbalimbali barani Afrika, afisa mmoja wa serikali amesema.
Mmamoloko Kubayi, Waziri wa Sheria na Maendeleo ya...
Leo Juni 15, 2026, moto umezuka katika moja ya nyumba zilizopo Mtaa wa Agrey, Kariakoo, Jijini Dar es salaam huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijafahamika.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamedai kuwa moto huo ulianza ghafla na kisha kusambaa kwa kasi ndani ya jengo husika.
Jeshi la...
Hii ni sauti inadaiwa kuwa ya Ahmed Shabiby, mbunge wa Gairo , alipigiwa simu na Mwananchi kuhusu maendeleo lakini yeye akamtukana na anasikika akiagiza watu aliokuwa nao kwamba huyo mwananchi akamatwe a***** porini. Huyo mwananchi anaishi kwa mashaka sana kwa sasa
Huyu huwa anajifanya kukosoa...
David Eby, Waziri Mkuu wa jimbo la British Columbia nchini Kanada, ametangaza kuwa jimbo lake liko tayari na litafurahi sana kumkaribisha Omar Artan. Alieleza kuwa Artan anapaswa kuruhusiwa kuchezesha mechi za Kombe la Dunia ndani ya eneo lake la utawala, haswa katika jiji la Vancouver ambalo ni...
Inaelezwa kuwa tetemeko kubwa la ardhi limeikumba Ufilipino na kuibua hofu kwa wakazi, hususan waliopo kwenye majengo marefu. Wataalamu wa usalama wanasisitiza umuhimu wa kufuata taratibu sahihi za kujilinda wakati wa majanga kama haya.
Mojawapo ya makosa hatari yanayoweza kuhatarisha maisha ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.