Recent content by mafwitanda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mjue Mtoboaji macho, Salum Njwete (Scorpion) na watu wake

    Mbona issue ya walimu mbeya faster maamuzi VP huyu jamaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanaotuhubiria juu ya demokrasia ni wanafik na wanatucheleweshea maendeleo

    Urusi tangu 1917 chini ya Vladimir I Lenin
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Aangalie walimu kwani ndo nguzo ya taifa
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

    Joys Ana elimu gani wadau?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Josephine Mshumbushi: Ni mwaka mmoja nje ya nchi, Tunamshukuru Mungu kwa kila jambo

    Sawa Mhaya ubarikiwe kuwa nje ya nchi...Lisu yupo Ana yake pia...nikwambie kitu...punguza maneno...acha yaishe hivohivo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kenya: Taifa dhaifu linaloitamani Tanzania

    Nenda Saut univ. Uone wakenya walioajiriwa hapa na hawataki KBS kurudi kwao
  7. M

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Wanawake wanapenda kuhudumiwa madaktari wanaume

    Shida ya wadada wanapenda kuguswaguswa na jinsia tofauti
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni nini asili ya mwitiko wa "Naamu" na "Beee"?

    Kwa hiyo mwarabu hakuchukua watumwa hapa A.mash... Hadi Leo tembelea nyumba za Waarab wanawatumwa majumbani mwao ambao ni watz...tafakari maisha yao yalivo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Kikwete apewe tuzo ya heshima

    Tulidaiwa trillion 40
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

    Mwanafalsafa wa Ufaransa aliandika kitabu akakiita God is Dead. Baada ya miezi mitatu nae akafa...take care...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfungulia mke biashara, mama mkwe anataka aiache amfungulie biashara nyingine

    Mamamkwe Ana lengo baya... Ajabu ni kuwa Ana lengo la biashara hiyohiyo ya kwako kwa nini? Usikubali
  12. M

    JamiiForums Tanzania TRA valuation system ya magari haiko fair

    Ni hatari tupu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Afrika ni bara la Kipumbavu zaidi kuliko Mabara mengine yote hapa Duniani

    Miongoni mwa mawazo mabaya ulimwenguni; ni kujikana mwenyewe. wakoloni walitumia mbinu ya superiority vz Inferiority complex... Hapa ni ushindi Mkubwa kwa wakoloni kwa mawazo finyu na mgando ya Eddo Kumwembe...hajitambui
  14. M

    JamiiForums Tanzania TRA valuation system ya magari haiko fair

    Mie naona serikali ndo imetengeneza hayo Magari... Km mtengenezaji anauza 9mil we kodi 15 mil huu sio uzalendo. Pia its turning our people into poorness...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

    Congrats magufuli
Back
Top Bottom