Duh, nashindwa kuelewa ukweli ni upi maana majibu yanatofautiana - mara wamepigwa ban, mara hawana vyeti n.k. Kwa maoni yangu sababu zote hizo hazina mashiko. Kama ni suala la vyeti basi itakuwa sababu dhaifu sana. Waajiri wengi sikuu hizi ni kuwa na uwezo(skills) katika kazi fulani na siyo...
Mimi ni mpenzi mkubwa wa kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kila siku asubuhi na Clounds FM. Sijui kimetokea nini siku za hivi karibuni kwa kuwa magwiji wa kipindi hiki wakiwemo Fetty, Caesar chini ya kiongozi Masoud Kipanya siwasikii tena.
Nasikia sauti za watangazaji wengine ambao...
Nakumbuka mwaka 2019/2020 aliyekuwa Rais wa wakati ule, John Pombe Magufuli ambaye pia alikuwa mgombea urais wa mwaka 2020 kupitia chama cha CCM alinukuliwa akisema "Uchaguzi utakuwa huru na wa haki". Yaliyotokea kutokana na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu wa mwaka...
Ushauri wa bure kwa Msigwa. Weka Akiba ya maneno. Umeshaondoka CHADEMA angalia mbele. Sahau kwamba ulikuwa CHADEMA. Tumia jukwaa la siasa kueleza sera na mema za CCM. Kwa kufanya hivyo utajijengea heshima. Ukiendelea kama unavyofanya sasa hata viongozi wa CCM watakustukia kuwa kuna siku Unaweza...
Kuitwa kwa Makonda kwa Kamati ya Maadili ya CCM ni "red flag". Itabidi asome alama za nyakati na atambue kwamba hizi si enzi za JPM ambapo alikuwa anaweza kufanya lolote( kama kuvamia kituo cha Clouds) au kutoa kaui tata (kama kuwataka wabunge wotw wa upinzani watoke mkoani kwake) bila hatua...
Nani anamtengeneza? Tangu tupate uhuru hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu kabisa ametengenezwa. Si Nyerere, si Mwinyi, si Mkapa, si Kikwete, si Magufuli wala si Samia. Viongozi wote huibuka. They emerge. Hawatengengenezwi. Fact.
Wakati mashindano ya AFCON yalipokuwa yanafanyika huko Ivory Coast, nilimsikia mmoja wa wanahabari aliyekuwa huko akituhabarisha kilichokuwa kinaendelea akisema boda boda wa huko wana nidhamu sana.
Wakifika kwenye taa za barabarani wanasimama mpaka pale taa ya kijani itakapowaruhusu kuendelea...
Hivi muda ambao Makonda alimpa Waziri Mkuu kumaliza tatizo la migogoro ya ardhi umewadia? Kama bado je kuna dalili za migogoto hiuo kwisha. Je muda ukifika na migogoro hiyo bado iko pale pale je Makonda anawezak kuchukua hatua dhidi ya Waziri Mkuu?
Wakuu nauliza muda ambao Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda ambazo alimpa Waziri Mkuu, Mh. Kassim Majaliwa kumaliza tatizo la migogoro ya ardhi unatazamiwa kuisha lini? Je tangu agizo hilo litolewe migogoro imepungua? Na je ikidhihirika kwamba tatizo la migogoro ya ardhi bado liko pale pale...
Kigogo amekwishaongea kuwa Karimjee hapatatosha kutokana na matukio ya vigogo 2, waandae uwanja wa Mkapa. Ukitaka taarifa mtafute Kigogo. Usisubiri serikali hii ya CCM.
Kama ningekuwa na nafasi ya kumshauri Mhe. Majaliwa. ningemwambia anyamaze kuhusu suala la kutoonekana Mhe. Makamu wa Rais. Watanzania bado hatujasahau jinsi alivyotudanganya suala la JPM - kwamba ni mzima na anachapa kazi! Tunatamani Mh Mpango awe ni mzima na anachapa kazi lakini Majaliwa...
Nimerudi juzi Jumapili kutoka Kigali, Rwanda ambako nilikwenda na wenzangu 3 kwa shughuli za biashara. Tulikwenda kwa usafiri wa gari binafsi. Tulikaa huko siku 3. Nilishuhudia kitu kimoja kuhusu traffic polisi wa huko, jambo ambalo lilinifanya nitafakari na kulinganisha na traffic polisi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.